Binadamu ni mnyama amajaliwa uwezo wa kuwaongoza wanyama wengine kwani ana uwezo wa kuwafuga, kuwawinda hadi kuwatibu
Ukiachana na mnyama aina ya kiboko pia binadamu ni mnyama ambaye hawezi mpanda mama yake katika uzalishaji
Binadamu pamoja na nguruwe ni wanyama ambao ni omnivores (wanakula nyama, pamoja na majani? )
Binadamu ni mnyama pekee kwa wakati wote ambae anatumia miguu miwili kutembea
Jinsia ya kike ya mnyama binadamu pamoja na jinsia ya kike ya ngurue ni wanyama ambao peke yao wana menstrual cycle
Naomba ifahamike Binadamu sio mnyama pekee anaetumia kitendo cha kujaamiana Kama starehe ukiachana na uzalishaji
Ukiachana na nyangumi (whale) na tembo binadamu ni mnyama anayeishi kwa mda mrefu
Kijusi cha binadamu (embryo) kinafanana na baadhi ya wanyama kwani vyote huwa na mkia
Ukiachana na mbwa binadamu ni kiumbe kilichowahi fika anga za juu (space)
Mnyama binadamu jinsia ya kike anapenda kutumiwa nauli na ya kutolea hizo ni miongoni mwa courtship behavior ambazo madume tunafanya ili tuwavutie tuweze ku mate nao tofauti na wanyama wengine ambao nguvu inaitajika tofauti na hapo hauli mzgo hadi unakufa