Fahamu haya unapoenda weka mafuta hasa petrol

Asante kwa Ushauri
 
nimejifunza kitu hapa ase asante mkuu kwa somu hili
 
mm nilitoka kama ushauri wangu kwa uelewa wangu na experience yangu... ungejaribunkuwa mstaarabu kidogo kama post no 3..

mbona kaelezea vizuri tu usikute hata kirikuu huna
 
Asante kwa masahihisho mkuu maana mm nahisi gari zote ambazo nimetumia nimekua na experience mbaya na mafuta kwenye gas stations zilizo na nembo ya super na sio moja
 
No wonder baby walker yangu iliniwakia moto..tena nikiwa traffic lights ..nilitokea petrol station moja hivi inayosemekana inamilikiwa na "jamii ya Asia"..

Nimejifunza kitu..asante sana!
 
mm nilitoka kama ushauri wangu kwa uelewa wangu na experience yangu... ungejaribunkuwa mstaarabu kidogo kama post no 3..

mbona kaelezea vizuri tu usikute hata kirikuu huna

Tabia ya kudanganya umma uache kabisa. Kama hujui jambo kaa kimya. Hiyo experience yako ya lini na wapi. No research no right to speak ebo
 
Acha kupotosha watu mkuu..
 
Mtoa mada muongo..
Watu wapo Bulk kitambo sana sasa anapokuja sema sijui kuna baadhi unleaded na nyingine super sio kweli.
 
Nagundua kitu hapa.Sasa kama mafuta yote yanaagizwa pamoja kwanini kuna utofauti mkubwa wa bei katika sheli za Dsm? Je inawezekana vipi vituo vilivyopo Nje ya Dsm mfano katika Barabara iendeyo Lindi na Mtwara kuuza bei ya chini kuliko Dsm? Ahsante
Mkuu suala la bei lisikusumbue kichwa.
Wengine wana amua kujilipua tu. Mtu anauza karibu na bure ili kuwa komaa wengine. Au wengine wana mikopo kwahyo wanapambana kurejesha.
 
Duhh sasa wenye tu-vitz,ist pia twende huko maana hiyo check engine huniwakia mno...hupendelea GBP na hao uliowataja...msaada please
 
Tabia ya kudanganya umma uache kabisa. Kama hujui jambo kaa kimya. Hiyo experience yako ya lini na wapi. No research no right to speak ebo
Experience yangu ya maisha kama una hisa au unafanya kazi kwenye hizo fuel stations muache kuchakachua mafuta wezi wakubwa
 
Total
Puma
Oryx
GAPCO

Nikikosa mafuta Total nitaenda kwa hao wengine.

Ila Total ndo chaguo namba moja kwangu.
 
Hii inchi hii tunajazana sana mambo ya ajabu.
 
Tanzania hakuna mafuta yenye ubora yote ni ya kawaida sijajua kama hata wauzaji wanajua mambo ya PPM 50 au PPM20 etc.
 
Maelezo sahihi. Asante sana. Kwa kuongezea tu, wengi wetu huwa hatuna utamaduni wa kusafisha matenki ya mafuta ya magari yetu. Gari ya mwaka 2000, na unapenda kuweka Lita tano tano, na wakati unawekewa mafuta huzimi injini, mafuta yanaingia kwa msukumo mkubwa kwenye tenki na yanavuruga uchafu, pump inavuta uchafu unaingia kwenye nozzle, zinaleta shida. Hapo kwa haraka haraka mtu atalalamika kauziwa mafuta machafu.

Kuzima gari wakati wa kuweka mafuta ni ustaarabu unaosaidia si kuepusha ajali za moto tu, Bali pia hata kukufanya upate muda wa kufanya uchafu wa tenki usivutwe kwenye injini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…