Fahamu hili kabla hujaamua kuacha ndoa au kutoka nje!

Changamoto za mahusiano ni kubwa, uaminifu kwa wengi ni mtihani.
 
Hivi ikitokea una mke, mna familia na mnapendana lakini kila mara kuna migogoro utafanyaje? Na ikitokea mwenzako hana upendo na ndugu zako unafanyeje? Mfano una kaka yako ulikuwa unamuuguza akafanyiwa operation lakini kabla ya kwenda kwenye operation ukagombana na mwenzako kutokana na ugomvi wenu mwanamke akaamua kutokwenda hospitali wala kutokumpigia kaka yako simu kumjulia hali. Hivi mtu kama huyu ana upendo wa kweli na anayo hofu ya Mungu?
 
Yaani kama ni mimi wala simuuulizi kitu chochote, nafanya yangu kwa ajili ya ndugu yangu tu, na hapo inategeme na kosa lenyewe ni lipi! Ila Mimi siwezi siwezi mlazimisha kabisa kumjulia hali ndugu yangu
 
Sawa, Na utaendelea kuishi nae kwa amani na upendo kabisa baada ya yeye kufanya jambo lisilo la kibinaadamu?
 
Sawa, Na utaendelea kuishi nae kwa amani na upendo kabisa baada ya yeye kufanya jambo lisilo la kibinaadamu?
Sasa ndugu yangu yeye amegoma kwenda utamlazisha? Na ni mtu mzima anajua afanyalo, kuna watu wapo hivyo, mfano mna watoto naye tayari utaachana naye? Hudumia mgonjwa wako basi kama ana akili timamu atajiuliza mwenyewe katika serikali yake ya kichwa, kama ni msamaha ataomba
 
Haa[emoji3][emoji16][emoji23][emoji28][emoji28][emoji1]
Hawa Watu Wa Tuma Pesa Ya Kutolea
Changamoto Ya Mahusiano Ni Zaidi Ya Uchaguzi 2020
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] khaaaaaah JF raha San lol
 
Ameeeeeeeeeeen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…