unanitaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,178
- 1,045
Diamond endelea kumpenda,kumjali na kumthamini sana mama yako Mungu yu pamoja nawe utazidi kushine tu.
Vipi baba yake mana hapo hujatoa ushauri!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diamond endelea kumpenda,kumjali na kumthamini sana mama yako Mungu yu pamoja nawe utazidi kushine tu.
Na yule DJ wake na ndugu yake aliyekua anafanya clouds anasema yeye ndiye aliyempa connection na watu wa clouds na akawa anasimamia mwenyewe kuhakikisha kamwambie inapigwa ktk kila kipindi na kuingizwa top ten. Hapo ndipo alipotokea domo hizo nyingine ni mbwembwe tu. Mnalazimisha domo aonekane ni kiumbe wa ajabu aliyepitia mateso wakati aliishi na mama na bibi alikua na nyumba mjini. Stori za kutengeneza hizo wenye akili zetu tunazipotezea tu!!
IPO hivi, diamond baada ya kutoka vizuri na kamwambie na kumsaidia kupata tuzo 3, akatoa Mbagala na juu yake akatoa shavu kwa brother ake Romyjonnes awe model wa ile video. sijui hats kama uliiona au unaropoka tu!!!!.
Then after rommy akapata ka umaarufu flani hivi, ndipo alipoenda kufanyiwa dili clouds apate ishu yoyote ya kufanya, na kwa wakati huo hakuwa akifahamu uDJ ndipo alipoanza kujifuza akiwa hukohuko Clouds...
So uelewe tu, Diamond alikuwa mwanamuziki mwenye air time ya kutosha tu kwa kipindi hicho
Ni namkubali dogo, kwanza anajitambua yeye na shida zake na alikotoka, pili hajihusishi kwenye starehe za kijinga zitakazo muharibia kazi, tatu halewi sifa, anazidi kuongeza bidii kila siku kana kwamba ndo anaanza maisha, nne anawathamini madansa wake alioanza nao zero, tano ameshika neno la mungu la kuheshimu mama yake. Hakika mungu akimpa maisha miaka kumi ijayo, ndo atakuwa msanii maarufu na tajiri namba moja afrika nzima.
Hahahhahah lo lo, sema hivii domo ashukuru mademu tu ndo waliompa airtime na.watu kumfuatilia, na ni mademu hao hao wanamshusha hahahahah, anyaway ni treaky nzuri mnatumia kutafuta kuraaaaa
Na yule DJ wake na ndugu yake aliyekua anafanya clouds anasema yeye ndiye aliyempa connection na watu wa clouds na akawa anasimamia mwenyewe kuhakikisha kamwambie inapigwa ktk kila kipindi na kuingizwa top ten. Hapo ndipo alipotokea domo hizo nyingine ni mbwembwe tu. Mnalazimisha domo aonekane ni kiumbe wa ajabu aliyepitia mateso wakati aliishi na mama na bibi alikua na nyumba mjini. Stori za kutengeneza hizo wenye akili zetu tunazipotezea tu!!
Baada ya hayo maelezo yako nimelazimika kuiangalia hiyo video ya mahojiano! Refresh your memory... ni lini Clouds TV ilikuwa hewani? Ni lini Nenda Kamwambie ilitoka? Kwenye dakika ya 16:25 Sporah anamuuliza Rommy "Hapo Diamond alikuwa sio mtu yeyote?"
Kumbuka amemuuliza hili swali baada ya Rommy kutoa maelezo kwamba, baada ya kufanyiwa interview hapo hapo akalamba kazi Clouds TV lakini baada ya muda mambo yaakanza kuwa si mambo baada ya kuanza kuja wafanyakazi ambao walipitia audition, mara kinatokea hiki mara kile.... n.k! Remember, Clouds TV ilianza mwishoni mwa November 2009 na kuwa active ilikuwa 2010... kwahiyo hapo unaweza ku-approximate hayo inaweza kuwa yalitokea wakati gani! Na haishangazi, Rommy mwenyewe anaeleza kwamba, alianza hiyo kazi mwaka 2010 au 2009 mwishoni! Akili ya kawaida haishawishi kwamba ilikuwa 2009 coz' haiwezekani, kuanza na kuanza mara matatizo yanatokea kwahiyo kauli yake kwamba ilikuwa 2010 inaweza kuwa ndiyo sahii!
Baada ya hilo swali ("Hapo Diamond alikuwa sio mtu yeyote?"),
Rommy anajibu: "Anh... Diamond, no!"
Sporah: "Diamond hapo ndo anakuona kwenye TV, mwanangu nitoe na mimi"
Rommy: "Diamond hapo ndo ana-struggle, mimi roho inaniuma mdogo wangu....... kipindi hiko mimi nakaa Kinondoni, yeye anakaa Tandale, nikenda kule, dah, hana mia... hana lolote!"
Now the question: Hivi kweli mtu ambae hadi 2010 inaingia hana lolote, hata mia hana na ndo kwanza ana-struggle halafu mara: Does it make any sense mtu ambae hadi 2010 inaingia hajulikani, hata 100 mfukoni hana na ndo kwanza ana-struggle lakini March 25, the very same year anakuwa nominated KTMA na kushinda tunzo tatu na kuweka historia???!!! And don't forget, Mbagala ilianza kuonekana on TV April 2010 wakati huo Kamwambie imesha-hit tayari na ndio maana nikasema, kama alifanya promo labda hiyo Mbagala lakini sio Kamwambie!
Thubutu yao, hakuna mwenye ubavu wa kujibu kwa hoja hapa zaidi ya longolongo.... Nimehoji mtu ambae hadi 2010 inaingia bado ana-struggle kutoka hata sh.100 hana inakuaje miezi mitatuu baadae anaweza kuwa nominated KTMA na kushinda, jibu lake hili hapa:
Bwah bwah bwah!!!! JIBU HOJA WEWE... Eti ungejua kwamba ni mimi eti usingehangaika kujibu... sema huna ubavu wa kumjibu mtu anayeongea with facts and statistics kwavile umeshazoea longo longo! I ain't kind of the guy...! Yaani unaweka post watu wanakujibu ghafla unageuka na kusema nakomaa kutetea hoja yangu huku ukiwa umesahau umetuwekea hadi link za Youtube hapa kutetea kiroja chako... If you didn't mean to defend what you said, then what for?!!! By the way, hapo kwenye blue hapo... wewe si ndo mtalaamu wa mahesabu?! Unaonake basi ukipiga hizo hesabu ndogo za kutoa na kujumlisha miaka kisha utoe jibu badala ya kujificha kwenye mwamvuli wa "laiti ningekujua nisingekujibu"!!Ningejua kama wewe ndio mtoa post wala nisingehangaika kukujibu!!.umekomaa kutetea uzi wako ..then una kivhwa kigumu sana kupiga hesabu ndogo tu za kutoa na kujumlisha miaka!!!
Haahahaa... scandal za mademu hizo zinazompeleka kote huko....OMG! Eti bado kuna watu wanaendelea kuamini stori za kufikirika hadi karne ya 21 hadi wanamfanya dada yetu Shilole ajitoe ufahamu kwavile anawasikiliza wehu kwamba scandal zinalipa!!! Yaani mtu hadi usiku wa maneno anakuwa studio, spending lots of money kutengeneza kazi zake, highly interacting with fans in social medias lakini bado kuna watu wanaamini ni scandal ndizo zinampaisha!BBC dira ya dunia mzee yuko ndani leo
kijana mtafutaji sana huyu, Daima atazidi kung'ara
Hahaahaha tatizo hawaelewi, tatizo wabishi jamaa ana fight wana leta chuki hahaha
Kwa staili hii utashangaa leo Mamaake kuwa karibu sana na mwanae..! Hongera Mama Chibu umefanya kilicho bora kwa mwanaoMara nyingi mama yake alikuwa akimnunulia kanda za album za wasanii tofauti waliokuwa wakihit kipindi hicho na hata kumuandikia baadhi ya nyimbo za wasanii hao ili mwanae aweze kuzishika na kuimba kirahisi, na wakati mwingine hata kumpeleka katika matamasha tofautitofauti ya tallent show ili mwanae apate nafasi ya kuimba, kitu ambacho baadhi ya ndugu wa familia waliona ni kama kumpotosha na kumuharibu mtoto huyo badala ya kumuhimiza kimasomo.
Na pia mwambie afunge ndoa awe na familia au haruhusiwi?Hongera kijana na kamwe usimsahau mama yako na wengine tunakupenda zaid kwa kuwa unamjali mama yako