Fahamu jinsi ya kuchagua TV nzuri itakayokufaa kabla hujanunua

Fahamu jinsi ya kuchagua TV nzuri itakayokufaa kabla hujanunua

Hakuna Tv zenye muonekano mzuri wa picha kama SONY.hata huyo LG anayesifiwa na wengi amejaza contrast tu,ila SONY imebalance kila kitu.
Wabongo niambieni hivi mtu akitazama mpira kwenye Smart TV ya 8K na yule anayetazama kwenye Arboder mwisho wa mchezo magori yanatofautiana au mmoja hawezi kumjua iyefunga goli? Mi naona picha ni macho yako tu nunua TV kutokana na pochi yako.
 
Inategemea na source, unatakiwa umatch tv na source ya kitu chako.

Ukitumia tv ya Chogo Dstv Hd kuna majina hata vizuri hutayaona sababu ni HD.

Ukiangalia Netflix ama youtube HDR na TV isio na HDR ama yenye HDR mbovu utaona tu weusi weusi na picha mbovu.
 
Mbona sijaona hizi tv zetu abroader, starx nk. Zikitajwa katika tv bora au zinaishia tu madukani walio wengi hatuzitumii?
 
  • Thanks
Reactions: K11
Wabongo niambieni hivi mtu akitazama mpira kwenye Smart TV ya 8K na yule anayetazama kwenye Arboder mwisho wa mchezo magori yanatofautiana au mmoja hawezi kumjua iyefunga goli? Mi naona picha ni macho yako tu nunua TV kutokana na pochi yako.
Kuna tofauti kubwa sana ya kimuonekano wa picha baina ya tv na tv...kuna tv ukiangalia tukio ili ujue ni kitu gani unaangalia inabidi uwe na utambuzi binafsi..lakini tv ikiwa nzuri unaona kila kitu hadharani sio kwa kukisia
 
Wabongo niambieni hivi mtu akitazama mpira kwenye Smart TV ya 8K na yule anayetazama kwenye Arboder mwisho wa mchezo magori yanatofautiana au mmoja hawezi kumjua iyefunga goli? Mi naona picha ni macho yako tu nunua TV kutokana na pochi yako.
Ili uone picha kwenye full capacity kama ilivyokua advertised , ni lazima source (king'amuzi, streaming service, console etc) ilingane na output/monitor (tv, monitor etc)

Kwahiyo ... mfano una TV ambayo ni 4k (output) ila kwenye hiyo tv yako unaangalia TBC (source) ambayo inarusha mawimbi kwa 720p, basi hapo wewe utakua unaangalia picha ambayo ni 720p .

Wengi tunadanganywa kunununua tv ambazo ni 4k/na skuizi 8k bila ya kuwa na uelewa sahihi matokeo yake mtu akiwa dukani anaona picha kaliiii ila akichukua akiweka hom anaona picha mbayaaa

Ndomana huwa nasema kwa matumizi ya kibongo haina haja ya kuwa na tv yenye resolution zaidi ya 1080 unless uwe unajiweza kulipia/download hizo platforms ambazo zinarusha content 4k na kuendelea ..
 
Back
Top Bottom