Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Leo hiyo ndani ya Brasil, kula vumbi tu..

Game version : 1.36
Map: Mapa Norte Brasil v4
Traffic Mod: Real traffic density and ratio
Weather mod : realistic brutal weather
Lights mod: xenon lights (maana hiyo weather mod kuna mda inakuja fog ya hatari huoni kitu kwa taa za kawaida)
Truck: Mercedes New actros 625hp (default truck not mod)
Cargo: 30 tons of roofing felt (double trailer)


Sent using JamiiForums mobile app
 
Wauweeeee

K,K
 
Ukitoka huko njoo kwa goba... kesho naweka screenshot...yani sio mchezo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2] kachukue mashine hyo..mwambie una trip ya Russia mara 1

Sent using Jamii Forums mobile app
Usijali nitafanya hivyo.

Naomba msaada kwenye tuta. Jana nimei-install game ya Cover fire kwenye Android yangu ila sipati silaha nazotaka hadi nifikie hatua fulani naweza kupata Mods ambayo utanifanya niwe pesa na gold za kutosha ili nitumie silaha yoyote nitakayo.

Pia nikiwea hiyo Mods app nitalazimika ku-unstall ile ya kwanza au naweza kuweka mods bila kuondoa lile game ambalo nilitoa play store.

Kama inawezekana nisaidie nipate uhuru wa kulicheza sio nipewe jambia kupigana na robot.
 
MKUU yaani kumbe hata pesa yenyewe ni ya mkopo! na bado MADEREVA WAKO UMEWANUNULIA truck na trailer na bado wanaleta buku buku bas wote TUMBUA

Wanazingua asee! Ila ngoja niwavumilie rating yao iwe juu, wawe levelled up waweze kuaccess more different cargo.
 
Game za android zipo apk zake ambazo tayari ni hacked (mod apk). Kuna site nyingi online zina kuwa na hizo apk jaribu ku search..

cover fire mod apk - Google Search

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitoka huko njoo kwa goba... kesho naweka screenshot...yani sio mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo map niliimaliza yote kwenye version 1.35 niliunga na promods.. Map nzuri sana hiyo and challenging hasa uwe na heavy cargo..

Saiz na dili na map ambazo sikuzicheza kwanza hivi vi stand alone maps.. Nipo Brasil kwa sasa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wabongo bado tumeshindwa kutengeneza map zetu, yaan niendeshe roli nitoke iringa niende kigoma..n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inawezekana sana sema inataka mda wa kutosha maana ina vikorokoro vingi hadi ikamilike ndo maana wenzetu wanakuwa ni timu kabisa na wengine wanauza au kuomba donation..

Shida ukiwa mwenyewe na huna mda wa kutosha unaweza kuanza kuandaa map wakati game version ipo 1.35 unakuja kumaliza unakuta scs washa update game imefika v1. 40 huko.. Mi niliwahi kujarib nikaachia njiani..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…