Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Mim najua njia ya kutumia steam..

Hebu kadownload steam setup kwanza kisha rudi hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ku disable dlc sio lazima steam mkuu.. Connect tu na internet then pale mwanzi unapochagua profile yako kuna sehem juu kushoto imeandikwa dlc browser kama skosei unackicl hapo dlc zote zitaload then unaweza kuzi disable from there..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kwa wale wanaopendelea kuwa na magarage na hela nyingi kuna mods nyingi tu za kufanya hivyo.. Hii inakurahishia ku enjoy map.. Badala ya kutumia mda mrefu hadi ufike levels za juu unatumia tu mod/tool ya ku unlock garage zote baada tu ya kufanyabile delivery ya kwanza na unajipa hela unayotaka then wewe kazi yako inakuwa ni kupiga safari tu unapotaka..

Kwa mfano kuna hii inatwa TS SE Tool, unaweza ukaedit profile yako unavyotaka na kumiliki hata garage zote za kwenye game ukitaka.. Cha msingi tu kabla hujatumia kwanza fanya delivery zile za mwanzo kama mbili hivi then unaenda kutumia hii..
IMG_20200405_182937.jpg
IMG_20200405_183144.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • IMG_20200405_182853.jpg
    IMG_20200405_182853.jpg
    41.6 KB · Views: 1
Ku disable dlc sio lazima steam mkuu.. Connect tu na internet then pale mwanzi unapochagua profile yako kuna sehem juu kushoto imeandikwa dlc browser kama skosei unackicl hapo dlc zote zitaload then unaweza kuzi disable from there..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo njia naijua ila nahis haifany kazi kweny hizi crack tunazo tumia..au ulishawah test mkuu ukafanikiwa kweny crack?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aise game langu nikiwa nnacheza linajipause Sasa shida hapa Hadi Ni restart

K,K
 
Back
Top Bottom