Wakujilipua
JF-Expert Member
- May 5, 2018
- 1,584
- 1,393
sawa
sawa mkuu nimekuelewa.Mkuu kwanza hiyo hahiitaji ku install, una download tu then extract ndani kuna ki file chake cha kufungua kimeandikwa ts se tool.. Labda kama itakwambia uwe na net framework 4.7.2 kama ulikuwa hujainstall hii ndo inabidi udownload maana bila hii hutaweza kuifungua hiyo app (ukisearch to Google net framework offline installer unaipata kwa uzuri chagua version 4.8 ambayo ndo latest )
Ukimaliza hapo unaifungua tu direct. Uzuri app yenyewe inajieleza vizuri kabisa, ukiifungua tu itakuonyesha sehem unachagua profile yako then una load.. Itafungua profile yako unayotumia kwenye ets then unai change unavyotaka.. Levels, garages, money na vitu kibao..
View attachment 1414812
Sent using Jamii Forums mobile app