Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Hizi trip za Russia aysè ni ndefu. mpaka sasa sijafanikiwa kufika mwisho wa safari hata moja pamoja na kwamba nakanyaga wese mpaka mwisho

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
labda uchukue kenmorth moja hivi then ulifungie zile giant engine ndo mambo yataenda sawa
 
mkuu yaani hapo hakuna key ya ku suport kujaza wese so fanya hivi nenda option ya key and buttons then kaweke active button ya enter
 

Attachments

  • ets2_20200417_214144_00.png
    909.2 KB · Views: 3
  • ets2_20200417_213908_00.png
    1.2 MB · Views: 3
kama vile nipo bongo mie
 

Attachments

  • ets2_20200417_204358_00.png
    1.2 MB · Views: 3
  • ets2_20200417_195326_00.png
    1.4 MB · Views: 2
  • ets2_20200417_204852_00.png
    827.5 KB · Views: 3
Indonesia kutam bwana.. barabara nyembambaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
mara ya kwanza wakat naanza cheza hii map yaani ilikuwa ina scratch ile mbaya. sasa leo hii nimeongeza ram toka 4gb to 6 gb bwana we kama nilikuwa nimechelewa yaani kitu imekuwa fresh ile mbaya ushauli woote wenye 4gb ram ongezeni ili mambo yawe sawa
 
mara ya kwanza wakat naanza cheza hii map yaani ilikuwa ina scruch ile mbaya. sasa leo hii nimeongeza ram toka 4gb to 6 gb bwana we kama nilikuwa nimechelewa yaani kitu imekuwa fresh ile mbaya ushauli woote wenye 4gb ram ongezeni ili mambo yawe sawa
Aisee..sasa 4 kwa goba sindo ungescratch kama dj...mie ram 8..yani napepea..

Hyo Indonesia ndio nahis kupaaa...matrafk huko barabarani wananitaman hawanipat[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee..sasa 4 kwa goba sindo ungescratch kama dj...mie ram 8..yani napepea..

Hyo Indonesia ndio nahis kupaaa...matrafk huko barabarani wananitaman hawanipat[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
alaf hii kitu nimeoiongezea ile mod ya real traffic density and ratio. wee na barabara yenyewe ndo hiyo ni full foleni
 
Wakuu ukiactiva mood ya blasil huwezi kucheza mod ya basi na Mimi napenda kupakia abilia hivyo nnaitafuta mod ya kijijini ila iwena uwwzo wakuchukua abilia

kelphin kepph
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…