Wakujilipua
JF-Expert Member
- May 5, 2018
- 1,584
- 1,393
hiyo inapakuliwa sasaNishaweka mkuu hyo apo juu
Wkend naongeza map zingingne mbil.. balaa sana nazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo inapakuliwa sasaNishaweka mkuu hyo apo juu
Wkend naongeza map zingingne mbil.. balaa sana nazo
Sent using Jamii Forums mobile app
naifanyia kazi Mkuu ngoja niweke bundle maana hii likizo ya Corona bila game hatufiki
ndiyo
WAKUU NAOMBENI MSAADA HAPA KUHUSU IDM. MFSNO HAPA NIKIWA NADOWNLOAD KITU YAANI HAIKUBALI KU RESUME NA PALE NINAPO WEKA PAUSE NDO KWANZA INAKATA NA KUANZA UPYA JE NIFANYEJE?. NITASHUKULU KWA MSAADA WENU
kivipi
eeh hii ni kali.mbwa,paka vibanda vya kuuzia nyanya na mama ntilie, askali wa barabarani nao wamo wanafanya ukaguzi kwa kila gari. BY ICRF MAP
thanks kwa wazo lako
Wakubwa, Kuna wakati naandikiwa notification kwamba mf. Nikipitia sheli kuweka wese inasema PRESS AND HOLD THE FOLLOWING KEY TO FILL THE DIESEL. KEY ZENYEWE NI (N/A)
Kila nikibonyeza hizo, hamna kitu. Hata nikitaka kulipa passage cost. Nikibinya hizo hamna kitu. Nahold kabisa lakini wapi!! Wenzangu mnabonya vipi ??

Dah hi imegoma