kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,517
- 7,984
- Thread starter
- #2,121
Kuna link ya idm mie nnayokweli goba kiboko yaani hii map yake hata kwenye IDM haiitaji ku pause iki pause tu inaanza upya
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna link ya idm mie nnayokweli goba kiboko yaani hii map yake hata kwenye IDM haiitaji ku pause iki pause tu inaanza upya
[emoji2][emoji2] taratibu na hii korona uspakie mtuuna ambiwa hivi hata kama ukiwa na toyota hiace hukosi abilia wa kuwabeba kwenye hii map
Mkuu kunasehem pale kwenye main menuDah mkuu unakosa raha ya kuchange gear kwny milima
Map gan hi mzeeuna ambiwa hivi hata kama ukiwa na toyota hiace hukosi abilia wa kuwabeba kwenye hii map
mkuu naiomba🤲🤲 hata saa hii nipakue mzigo
ndiyo
hiyo pad inauzwa bei gan mkuuMkuu kunasehem pale kwenye main menu
Wameandika signkey Hapo unaifanya padi yako unavotaka wewe
Mfano Mimi exreta natumia pad reverse natumia padi
Engine Blake's natumia pad alagu gear box yangu Ni manual[emoji16][emoji16][emoji16]
Nikitaka ingiza gia lazima ukanyage crutch si ndio ndo uingize nau utoe na vyote ivo nafnya kwenye pad yan kifupi raha tupuView attachment 1419593
kelphin kepph
Harsh Russian Siberia Map vR3 (1.36.x) for ETS 2.rarmkuu naiomba[emoji2969][emoji2969] hata saa hii nipakue mzigo
hivi saaa ivi wazee latest version ni ipi?? maana kwenye official website naona 1.35.1 af huku naona wana mna piga gear kwenye 1.36.2.2 emb nielewesheni hapo wadau,au mimi ndio sielewi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo nipo Indonesia...yani uswazi kinoma..yani kuku mpaka barabaran[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
👋 👋 😂😂 hatari sana hiyoLeo nipo Indonesia...yani uswazi kinoma..yani kuku mpaka barabaran[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
mapaERIDOLADO 1.36 k camp alitoa linkMap gan hi mzee
kelphin kepph
Ww anza na puno mkuukama hutojali emb share nami hapa mods unazocheza wewe boss kwenye hii 1.36 nianze nazo. maana unaonekana unaenjoy kinoma. magari, ramani na nyingine nyingine unazozikubali itapendeza zaidi.[emoji120][emoji120]
Nipo nipo tu Wakuu nilikuwa namalizia Map ya Hondulandia sasa naweza piga speed ya kufa mtu na kuuwahisha mzigo popote kwenye mito, mabonde milima na hata reli na kuufikisha bila kuchelewa.
Dah tukajua umekula mzinga huko puno mkuu,,saiz tupo kwa goba fanya kupakua mzgo una 6gb kudadekNipo nipo tu Wakuu nilikuwa namalizia Map ya Hondulandia sasa naweza piga speed ya kufa mtu na kuuwahisha mzigo popote kwenye mito, mabonde milima na hata reli na kuufikisha bila kuchelewa.
kwenye Puno Peru ramani nimefyeka 86.65%
bado nipo nawasubiria na ramani mpya za Baikal na Indonesia
Iko Kwa Wapi Hiyo Link Kiongozi? Nataka Nitoke Kwenye Hii Yangu Ya 1.28. Requirements Gani Zinahitajika?Latest ni 1.37 japo ni beta...imetoka juz hapo...kwaiyo kwakua sisi twasubr stable ya 1.37..kwetu latest ni 1.36
Kwaiyo naww pakua 1.36 ipo hapo juu kweny uzi
Sent using Jamii Forums mobile app