Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Mkuu ile TE tool mbona kila nikijiongezea money kwenye game haiongezeki.
Nimefanikiwa kuongeza level tu

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
mkuu si mimi labda tumuulizie SIJUI MIMI ndo mwenye hiyo idea
 
Haha kuna map ya EA nilikua naitest kidogo..mana nilipakua alaf skuwah ianza...ila kesho narud zangu Russia kwa goba...mana ile kitu bab kubwa

Then kuna map kali kama 3 hivi nimepakua moja 1 leo, hzo mbil hadi wkend...ni map tamu sana...yan map kibao alaf muda mchache dah...nitaweka link zake kesho

Mipaka ipo wazi uswaze mkuu
kweli we mkali saa hii usha hama russia uko chile!! na vip kuhusu mipaka haija fungwa kweli # corona#

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DAF BARABARANI
 
Attachments

  • ets2_20200414_222030_00.png
    ets2_20200414_222030_00.png
    1.1 MB · Views: 4
  • ets2_20200414_221511_00.png
    ets2_20200414_221511_00.png
    1.5 MB · Views: 5
  • ets2_20200414_221452_00.png
    ets2_20200414_221452_00.png
    1.5 MB · Views: 5
  • ets2_20200414_221444_00.png
    ets2_20200414_221444_00.png
    1.5 MB · Views: 5
Haha kuna map ya EA nilikua naitest kidogo..mana nilipakua alaf skuwah ianza...ila kesho narud zangu Russia kwa goba...mana ile kitu bab kubwa

Then kuna map kali kama 3 hivi nimepakua moja 1 leo, hzo mbil hadi wkend...ni map tamu sana...yan map kibao alaf muda mchache dah...nitaweka link zake kesho

Mipaka ipo wazi uswaze mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
daaah! kheri yako mkuu mi nilidownload hiyo map mpaka ikafika gb 4 daah mtandao nao ukazingua yaaani niipo😡😡😡
 
una ambiwa hivi hata kama ukiwa na toyota hiace hukosi abilia wa kuwabeba kwenye hii map
 
Attachments

  • ets2_20200414_222030_00.png
    ets2_20200414_222030_00.png
    1.1 MB · Views: 4
  • ets2_20200413_211613_00.png
    ets2_20200413_211613_00.png
    1.1 MB · Views: 4
kweli goba kiboko yaani hii map yake hata kwenye IDM haiitaji ku pause iki pause tu inaanza upya
 
Back
Top Bottom