Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Dah mkuu unakosa raha ya kuchange gear kwny milima
Mkuu kunasehem pale kwenye main menu
Wameandika signkey Hapo unaifanya padi yako unavotaka wewe
Mfano Mimi exreta natumia pad reverse natumia padi
Engine Blake's natumia pad alagu gear box yangu Ni manual[emoji16][emoji16][emoji16]
Nikitaka ingiza gia lazima ukanyage crutch si ndio ndo uingize nau utoe na vyote ivo nafnya kwenye pad yan kifupi raha tupu
IMG-20200407-WA0002.jpeg

kelphin kepph
 
Mkuu kunasehem pale kwenye main menu
Wameandika signkey Hapo unaifanya padi yako unavotaka wewe
Mfano Mimi exreta natumia pad reverse natumia padi
Engine Blake's natumia pad alagu gear box yangu Ni manual[emoji16][emoji16][emoji16]
Nikitaka ingiza gia lazima ukanyage crutch si ndio ndo uingize nau utoe na vyote ivo nafnya kwenye pad yan kifupi raha tupuView attachment 1419593

kelphin kepph
hiyo pad inauzwa bei gan mkuu
 
Latest ni 1.37 japo ni beta...imetoka juz hapo...kwaiyo kwakua sisi twasubr stable ya 1.37..kwetu latest ni 1.36

Kwaiyo naww pakua 1.36 ipo hapo juu kweny uzi
hivi saaa ivi wazee latest version ni ipi?? maana kwenye official website naona 1.35.1 af huku naona wana mna piga gear kwenye 1.36.2.2 emb nielewesheni hapo wadau,au mimi ndio sielewi??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimeshaishusha na wifi ya boss hapa jombaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], shukran mnoo. nikirudi nitaendelea kupiga gear. maana haya ma FIFA na PES bila washkaji na covid 19 hii hayana ladha kabisa. shukran sanaa.[emoji120][emoji120]
 
Leo nipo Indonesia...yani uswazi kinoma..yani kuku mpaka barabaran[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app

kama hutojali emb share nami hapa mods unazocheza wewe boss kwenye hii 1.36 nianze nazo. maana unaonekana unaenjoy kinoma. magari, ramani na nyingine nyingine unazozikubali itapendeza zaidi.[emoji120][emoji120]
 
Nipo nipo tu Wakuu nilikuwa namalizia Map ya Hondulandia sasa naweza piga speed ya kufa mtu na kuuwahisha mzigo popote kwenye mito, mabonde milima na hata reli na kuufikisha bila kuchelewa.
kwenye Puno Peru ramani nimefyeka 86.65%
bado nipo nawasubiria na ramani mpya za Baikal na Indonesia
 
Dah tukajua umekula mzinga huko puno mkuu,,saiz tupo kwa goba fanya kupakua mzgo una 6gb kudadek

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Indonesia kumenoga
 
Attachments

  • ets2_20200415_125326_00.png
    ets2_20200415_125326_00.png
    555.3 KB · Views: 3
  • ets2_20200415_125231_00.png
    ets2_20200415_125231_00.png
    494.2 KB · Views: 3
  • ets2_20200415_125256_00.png
    ets2_20200415_125256_00.png
    510.8 KB · Views: 3
  • ets2_20200415_125120_00.png
    ets2_20200415_125120_00.png
    409.3 KB · Views: 2
  • ets2_20200415_132938_00.png
    ets2_20200415_132938_00.png
    458.2 KB · Views: 3
Back
Top Bottom