Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

wakuu sasa naona dawa hapa ni kuhamia tu window 10.kwani hii inshu haina ujanja tena swali kwa kiwango cha processor yangu [ 2.50] yangu kweli naweza cheza game vizuri.? nijibuni bas ili nihame chap
 
Yani nyie sisi tunaenda mbele nyie mnarud nyuma? Piga 10 tena update ya April hii ndio uiweke...usipige window uchochoron

Au tumia hii program ya revo uninstaller

Download Revo Uninstaller Freeware - Free and Full Download kisha uta right click game yako ya ETS 2 utapata option ya ku uninstall game kwa revo uninstaller..basi chagua hapo...then revo itakwambia uchague aina ya scan ww chagua advanced ,revo ita scan files zote za ets2 kisha utachagua delete all..yan uta unistall bila kubakisha uchafu wowote wa ets2 ambao huenda ukafanya registry zicorrupt...baada ya kumalza ku unistall kwa revo... restart pc yako kisha install ets2 upya ikiwa clean.
wakuu sasa naona dawa hapa ni kuhamia tu window 10.kwani hii inshu haina ujanja tena swali kwa kiwango cha processor yangu [ 2.50] yangu kweli naweza cheza game vizuri.? nijibuni bas ili nihame chap

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu na mm sasa ndio inagoma kabisa
yaani tushtuke Microsoft sio mchezo, kwa yeyote atakayepiga Game chini ajue na Window 7 ni ku upgrade labda kwenye 10
HAMA tu Mkuu tukalete jibu mm tena basi sirudi nyuma
sasa ngoja nami nihame chap kidogo. lakini itapiga kazi kama kawa?
 
sasa ngoja nami nihame chap kidogo. lakini itapiga kazi kama kawa?
 
safi sana km kuna Watanzania watatuweka kwenye ETS 2 Simulator
hawa Kareem Design ni wakali kwenye kudesign mabody kwa Watanzania haza yanayoyoka China km YUTONG mk
tumuombee hata ya DSM Kibaha Morogoro Dodoma tupambane Milima
Nasubiri kupishana na 113 za wakinga zimebeba mbao kwenye ETS [emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes mkuu mim nmewambia atupe route hata ya ubungo posta tu [emoji2]...sasa humo ndan ukipata mnyama sauli kuelekea huko mbeya itakua balaa
safi sana km kuna Watanzania watatuweka kwenye ETS 2 Simulator
hawa Kareem Design ni wakali kwenye kudesign mabody kwa Watanzania haza yanayoyoka China km YUTONG mk
tumuombee hata ya DSM Kibaha Morogoro Dodoma tupambane Milima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
safi sana km kuna Watanzania watatuweka kwenye ETS 2 Simulator
hawa Kareem Design ni wakali kwenye kudesign mabody kwa Watanzania haza yanayoyoka China km YUTONG mk
tumuombee hata ya DSM Kibaha Morogoro Dodoma tupambane Milima
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ndiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…