Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Version za mwanzoni kabisa kwa yale maGame tuliyokuwa tukinunua madukani, km sio miaka minne nyuma basi ni zaidi.
hayaingizi Mods mwisho unaambiwa wasiliana nao kwa Internet
kama ni hivyo basi sawa.
 
kabla ya kubisha jaribu kwanza kujaribu sio wewe pekee unaecheza ili game
Tupo kwa ajili ya kuelimishana na sio kuonyesha nani anajua zaidi

Kuna maswali mengi kwenye huu uzi hayajajibiwa fanya angalau kuyapitia tusaidiane wote tu enjoy ili game

Kumbuka key mpaka sasa bado zipo umewekewa cracked version ili usiangaike kutafuta product key
mkuu uko sawa but ngoja nikupinge kwanza... hizo key zilizopo kwenye hiyo thread hazifanyi kazi kabsa kwenye hii version. kwa mfano, hapo mwanzoni nilipoanza kucheza hili game nikiwa na v 1.1.1 nika update mpaka v 1.35.35 sasa inshu ikawa ni key yaani nilitafuta mpaka basi, kila key nitakayo iweka ina fail nilijalibu key kama 100 lakini wapi mwisho wa siku nikaelekezwa nifungue account ya steam. napo nikafanya hivyo sasa bas key naziona hapo [zikiwa zimefichwa ] na kuna ujumbe unasema ili nitape key lazima nizilipie kwa $ kuanzia hapo sihitaji tena OG ngoja nihangaike na crack.
 
Tukumbushane pia Game version kuanzia 1.34 kuendelea imeonekana RAM iwe angalau 6GB
na huku mbele kuanzia 1.36 kuendelea angalau tuweke Window 10 RAM kubwa na mashine iwe na speed ya uhakika maana mambo yanaongezeka kwenye Mods na Play kwa ujumla
 
Back
Top Bottom