MWEMBEKIUNO
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 1,877
- 2,489
Yes mkuu mim nmewambia atupe route hata ya ubungo posta tu [emoji2]...sasa humo ndan ukipata mnyama sauli kuelekea huko mbeya itakua balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimeinstall kwa link hii bt nmecheza mara moja tu, nilivyo cancel game linagoma tena kufunguka, shida ni nini tena hapa Boss.Mnaosumbuka na ets2 setup
Hii ndio inapiga kazi, confirmed by mimi nimepakua usiku na nmeistall bila shida
mkuu hiyo link ni ya game la zamani sana, achana nalo. woote humu sasa tupo v 1.36 mbayo ni latest , na tumia link hii kuipakua ETS2 1.36.2.2s(Road To Black Sea)Mimi nimeinstall kwa link hii bt nmecheza mara moja tu, nilivyo cancel game linagoma tena kufunguka, shida ni nini tena hapa Boss.
ngoja niendelee kusubili kabisa tena nakaa kiti cha mbele
Kwann usitumie mods za heavy cargo tu ukatia kule kweny mod Managerwakuu naombeni msaada hapa nahitaji ku install mod ya mizigo iitwayo BIG HEAVY CARGO. sasa nashindwa namna ya kuanza na kumaliza
Nenda 1.37 wanapandisha vioohivi wakuu tunaanza lini kupandisha na kushusha vioo kwenye truck zetu
nitakalibia kbsa
tangulieni 1.37nitakalibia kbsa
πππ whytangulieni 1.37
Huyo Goba hatari sijui kama kuna kumaliza leoHahah huko tusubr stable... kwanza 1.36 kuna map kibao sijazmalza ikiwepo mkubw goba
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Goba hatari sijui kama kuna kumaliza leo
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Wakuu ngaoja nikalale kwanza nimekwamia hapa, Game kuinstall 1.36 haitaki kwenye Window 10
nimeweka na Intel Graphics
nimedelete ETS zote
sijui nakwamia wapi
cc kcamp, kata shime officiar na wengine okoa jahazi
View attachment 1435945