Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

chovrolet chakani
 
Attachments

  • ets2_20200503_040751_00.png
    1.4 MB · Views: 4
  • ets2_20200503_012603_00.png
    1.6 MB · Views: 4
  • ets2_20200503_032842_00.png
    1.6 MB · Views: 4
Kwann usitumie mods za heavy cargo tu ukatia kule kweny mod Manager

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu samahani nimedownload ets2 road to the black sea nikainstall lakin game halifunguki,pia nikajarbu kurun as administrator napo imegoma,sasa sielewi mkuu naomba nipe utaratibu upi niufate ili game liplay
 
Mkuu na mimi ni hivyo hivyo hako kamchezo
na nimedownload lile la 3.5GB
ukipata jibu niTAG
 
Ulipoinstall Hilo game pana space imebakia?
kwa vile na mm yamenipata tushirikishane.Pia
space katika Local C imebaki na waliniuliza mwanzo wakati wa kuInstall nikadirect kwenye folder la Game
ilipomaliza nikaongeza na DirectX
sasa ukifungua inaenda hatua zote inakwama kile ki-icon kinazunguka tu na kupote
ninatumia Window 10
 
NAONA MR KAREEM ANAENDELEA KUFUNGUA VITU
 
Attachments

  • Screenshot_2020-05-06 Kareem Design on Instagram “Progressing 🔥🔥 #kareemdesigns #ets2 #eurotru...png
    222.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_2020-05-06 Kareem Design on Instagram “Progressing 🔥🔥 #kareemdesigns #ets2 #eurotru...png
    211 KB · Views: 2
🤔🤔 daah nashindwa jinsi gani ya kukusaidia mkuu maana mi langu ni lile la gb 7na nyie ni la gb3 daaaah. labda wakuu mjalibu kucheki graphic drive maana mimi pale mwanzo lilivyozingua dawa ilikuwa ni graphic drive
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…