Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Yani huku Russia kuna vilima havipandiki asee...dah

Napigana ninunue chuma nifunge engine mod ile ndio nahis nitatoboa#goba hafaiπŸ˜€
 
Attachments

  • ets2_20200506_200144_00.png
    126.4 KB · Views: 1
  • ets2_20200506_211341_00.png
    367.5 KB · Views: 1
  • ets2_20200506_203201_00.png
    170.5 KB · Views: 2
  • ets2_20200506_210730_00.png
    211.5 KB · Views: 1
Yani huku Russia kuna vilima havipandiki asee...dah

Napigana ninunue chuma nifunge engine mod ile ndio nahis nitatoboa#goba hafaiπŸ˜€
hii kweli ni shida , alafu jamaa naona ana project update ya hii 1.36 ambayo ni 1.37 kweli hatutalala.
 
Yani huku Russia kuna vilima havipandiki asee...dah

Napigana ninunue chuma nifunge engine mod ile ndio nahis nitatoboa#goba hafaiπŸ˜€
ZIGO NI HEAVY+barabara bovu+ umbali wa mwendo km zaidi ya 2500 daaah umetisha!!πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Yani huku Russia kuna vilima havipandiki asee...dah

Napigana ninunue chuma nifunge engine mod ile ndio nahis nitatoboa#goba hafai[emoji3]
Goba mzee stock engine inatesa,

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
 
hii kweli ni shida , alafu jamaa naona ana project update ya hii 1.36 ambayo ni 1.37 kweli hatutalala.
ninyi mnazungumzia mwezini kupeleka madude 1.36 kwenda 1.37
wakati sisi tupo bongo na 1.35 (mm nimepiga chini nimeanza kudownload lile la Torrent la 7.1GB la 1.36
speed ni ndogo nashusha na Airtel tangua jana jioni hata nusu asubuhi hii haijafika
Terrent nzito naona antivirus inapambana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…