Polr Mkuu sikuwa hewaniHaya tuanzie hapa kwenye torrent mkuu maana mi mshamba kidogo ni kitu gani hiki ni app ama na inahusu nini ?
ni kweli nimeikuta huko lkn mbona ni za AndroidLipo world bus driving simulator
Shukrani mkuu sio kwamba sikurudi nyuma nimerudi ila kuelewa ndio changamoto unajua umri nao huuPolr Mkuu sikuwa hewani
naona umeogopa kurudi nyuma/ mwanzo huko kila kitu kipo
ipo # 68 ukiclick hapo utaishusha kwa uzuri na kila maGame mazito tumia hiyo iliwekwa na kcamp
Mbn inagomani kweli nimeikuta huko lkn mbona ni za Android
halafu Version zinapishana sana
Download World Bus Driving Simulator (MOD, Unlimited Money) v0.96 free on android
View attachment 1452744
nilikuwa namuelewesha aliyesema,Mbn inagoma
wataalam humu wamesema tunacheza na PC sio simu za mikononi (android) pia nimemuelewesha kwa sasa tupo version ya 1.36 & 1.37kilwakivinje said:
Lipo world bus driving simulator
Mbona imeandikwa kabisa ANDROID,nilikuwa namuelewesha aliyesema,
wataalam humu wamesema tunacheza na PC sio simu za mikononi (android) pia nimemuelewesha kwa sasa tupo version ya 1.36 & 1.37
sasa hayo Mabasi yapo Version ya 0.90
kwa hiyo majibu anayo kilwakivinje anaplay kwa PC au Android?
Baba Nla hujaelewa wapi?Mbona imeandikwa kabisa ANDROID,
post: 35389155 said:Hizo simulator za kawaida tu..hakuna ets2 ya simu
hili ni la kwenye simu au?
post: 35389081 said:daah hili labda ni jipya kwangu na play store sizani kama lipo.
ok sawa,, but ets2 la kweny simu lipo, changamoto ni kwenye kuli-instal, nilifuatilia kwa jamaa flani wa kihindi kupitia Youtube anaonyesha anavoliweka lakini mimi nilikwama kwenye kipengele cha ku-confirm kwamba mimi sio roboti jambo ambalo nilishindwa hadi sasa nacheza kwenye PC tuBaba Nla hujaelewa wapi?
ungeanzia nyuma kidogo Post #2503 mazungumzo yameanzia hapo, mleta point ameleta picha
akaeleweshwa hiyo picha ya Bus ni ya simu ya mkononi huku ETS-2 tunatumia PC
bado kilwakivinje akasisitiza alipolipata, ndipo nikamletea kuwa mbona nime google na ni la simu?
sasa tumuache mwenyewe ajibu sio kuniuliza mm mngeanzia kwake, hapa tupo kueleweshana
mm najua ETS -2 ni la PC na picha aliyoiweka ni ya simu ya mkononi
View attachment 1452771
umri si hoja hebu rudi post #85 utaona namna ya kutumia Torrent na Magnet tumia huu mfano wa zamani lknShukrani mkuu sio kwamba sikurudi nyuma nimerudi ila kuelewa ndio changamoto unajua umri nao huu
Pakua cracked version hii apa Download Euro Truck Simulator 2 (v1.30.1.6s + 56 DLCs, MULTi43) [FitGirl Repack] Torrent | 1337x
Hakikisha una uttorent kuweza ku download
Ni kweli Mkuu tupo pamoja mm la kwenye simu nimemuachia mwanangu wa 7yrs kagoma anataka la Computer.ok sawa,, but ets2 la kweny simu lipo, changamoto ni kwenye kuli-instal, nilifuatilia kwa jamaa flani wa kihindi kupitia Youtube anaonyesha anavoliweka lakini mimi nilikwama kwenye kipengele cha ku-confirm kwamba mimi sio roboti jambo ambalo nilishindwa hadi sasa nacheza kwenye PC tu
eeh!! π€ π€ π€Ni kweli Mkuu tupo pamoja mm la kwenye simu nimemuachia mwanangu wa 7yrs kagoma anataka la Computer.
tupo pamoja
Hakuna kitu kama hicho mkuu, mm nilidowload na nika install kwny cm na likagoma, pia nilifatilia kila kitu alichosema huyo jamaa muhindi lkn haiwezekani mkuu, pia you tube kuna tutorial inaonesha kwamba hakuna ets2 ya kwny cm.ok sawa,, but ets2 la kweny simu lipo, changamoto ni kwenye kuli-instal, nilifuatilia kwa jamaa flani wa kihindi kupitia Youtube anaonyesha anavoliweka lakini mimi nilikwama kwenye kipengele cha ku-confirm kwamba mimi sio roboti jambo ambalo nilishindwa hadi sasa nacheza kwenye PC tu
unatisha, hayo maujanja utatufundisha maana Kareem nasikia kataka buku 5hondura pagum balaaa
Ndo hivo tunatofautiana kwenye utaftaji,, Kumbuka game ni software tu haina kitu kipya, kama PES, FIFA, GTA SAN ANDREAS na mengine yapo kwenye android hili ETS 2 lina nini kipya,, ni maujanja ya kuliweka tuuHakuna kitu kama hicho mkuu, mm nilidowload na nika install kwny cm na likagoma, pia nilifatilia kila kitu alichosema huyo jamaa muhindi lkn haiwezekani mkuu, pia you tube kuna tutorial inaonesha kwamba hakuna ets2 ya kwny cm.
π π π umetisha mkuu na wanaoweza ni wachacheView attachment 1452794
Moja ya kitu nachokipenda kwenye hii game ni ku-park gar kwa kutumia SKILLED PARKING,, tena nikiwa natumia Manual Transmission
na kuongeza tu ni kwamba wanao tengeneza hizi android game na ku rename bus zoote kwa majina ya tz wapo ila ukiwaendea pm watakwambia nenda ka search play storeππ na huwezi kuzipataHakuna kitu kama hicho mkuu, mm nilidowload na nika install kwny cm na likagoma, pia nilifatilia kila kitu alichosema huyo jamaa muhindi lkn haiwezekani mkuu, pia you tube kuna tutorial inaonesha kwamba hakuna ets2 ya kwny cm.
mm kwangu naona kuna tofauti kubwa sana na Game za GTA, FIFA, Doom Collection etcNdo hivo tunatofautiana kwenye utaftaji,, Kumbuka game ni software tu haina kitu kipya, kama PES, FIFA, GTA SAN ANDREAS na mengine yapo kwenye android hili ETS 2 lina nini kipya,, ni maujanja ya kuliweka tuu
Mkuu tuendelee kuburudikaaana kuongeza tu ni kwamba wanao tengeneza hizi android game na ku rename bus zoote kwa majina ya tz wapo ila ukiwaendea pm watakwambia nenda ka search play storeππ na huwezi kuzipata