Eeeh mkuu...yan huko napanda milima kama sina akili nzur[emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23] mzee wa moscow, poshknov russia
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23] ETS2 KUNA MAMBO CHEKI HILI BANGO
Hili pepe hatar[emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23] ETS2 KUNA MAMBO CHEKI HILI BANGO
Ha ha haa.. huko kama nilivoeleza mwanzo siwezi kuja,, and nowdays mod developers wamejigundulia kutengeneza mod zenye mbs chache, nakumbuka version flani jamaa wa engine na gearbox alikua na mod ya 1gb lakini this time ana mod hiyo hiyo kwa mb 7,, so tutegemee makubwa kwenye swala la ukubwa wa modsduh mm nina hamu naye huyu dereva wa maspeed Baba Nla jinsi atakapopita ju ya wiya au reli au lile box kwa 150 km/h
hizo sehemu wakongwe tunapita na speed 2km/h mpaka 5km/h
hebu mkaribisheni mm nipo msituni nimekwama kweny gogo namsubiri
Volvo GLOBE TROTTER engine power 3400hp Transmission 22 gear chassis (8X4) ya mende kwenye usukani ili kupita kweye wireon time we ni kiboko ni chuma gani hicho scania,volvo au benz
Mkuu achana na simujanja (Android)
tumia Computer hata km ina RAM 4GB
twende pamoja anza na version za chini km 1.35 au hata 1.37 zinacheza
Pole Mkuu ni kweli hata hizi ant Virus huwa zinahusika kublock jaribu tenaMkuu lilistack hatari nikalifuta kabisa
MAPA EAA itakufaa [ 1] MediaFire [2]MediaFire [3] d0wnload zote mbiliWataalamu anayejua Bus mod na passenger Mod ya ukweli kwa ajili ya version 1.37, atusaidie tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] af hyo pcha km halisi aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] ETS2 KUNA MAMBO CHEKI HILI BANGO
tz kuna mafund wa ku edit baraa[emoji3][emoji3][emoji3] af hyo pcha km halisi aisee
[emoji3][emoji3]usije hondura kama reseni yako ni ndogo
humo bus zipo yani ruti yako yote ni bus pekee
Version gani hiyo maana naona picha ipo clear Mjombausije hondura kama reseni yako ni ndogo
π₯Ά π₯Ά π₯Ά π₯ΆVersion gani hiyo maana naona picha ipo clear Mjomba
halafu maLeaner tuliwaambia kuna Map wasiguse wabaki zile za EUROPA kwenye speed 200km/h
π π π π russia kiboko lazima nikate tiketi nijeChuma la masaa..ndani ya urusi....usije huku kam una pumu..mana ni vumbi tuππ