Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Chuma la masaa..ndani ya urusi....usije huku kam una pumu..mana ni vumbi tu😀😀
Duh napandisha vioo huku 1.37 nakuja 1.36 niione Russia muda si mrefu na Volvo Globetrotter na kimwana wangu
1589873277456.png1589873099957.png1589872980359.png
 
Chuma la masaa..ndani ya urusi....usije huku kam una pumu..mana ni vumbi tu😀😀
Mkuu, vipi lile chimbo la laptop zenye specs za kibabe, vipi unaweza nipa infor kuna machine gani sasa hivi na bei
 
Sasa nimepata shida kidogo. Nafanyaje ili nieeze kuchagua starting City toka kwenye ramani hii? Naona kama inanipa options za kuchagua Ulaya tu
Hizi Game na ramani ni za Ulaya Mkuu
km unataka ramani yako ni lazima uiweke kule Mods (km upo 1.37 chagua kabisa ramani inayoendana nayo mf Brazil au Peru nk)
unapoanza New profile ndipo unaiweka katika katika Playing Module la sivyo watakurudisha Ulaya
lkn jua Ramani sasa hivi ni nyingi maDeveloper wanatumia za ulaya, sasa sijui ulipenda ya Nchi gani, uiweke kwenye Mod
1589890549799.png
 
View attachment 1454135

Nina MAPA EAA tayari na nishaiadd kwenye mods ila nikianza new profile pale kwenye starting city hainitanulii ramani, inanipa option ya kuanzia Ulaya tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina MAPA EAA tayari na nishaiadd kwenye mods ila nikianza new profile pale kwenye starting city hainitanulii ramani, inanipa option ya kuanzia Ulaya tu
bado huna ramani hapo hiyo MAPA EAA ni ya mabasi tu
tafuta ramani km za Puno-Peru, Hondulandia, Brazil zipo humuhumu
 
Wakuu mbna najaribu kudownload mods ya map lakin nikiactivate inaleta maelezo kuna files zinamiss nipeni links za map za offroad natumia version ya 1.37
 
Back
Top Bottom