Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Kama ni ya 7z unayadownload kwenye folder moja ila unaextract moja tu 001. Files zitakazikuwa exctracted ndo unazitumia na kuzicopy kwenye folder la mods la ets2


Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mkuu nmeextract lile la kwanza alafu likatengezena file moja ambalo nmelipaste kweny folder la est2,lakin cha kushangaza nmeactivate mods lakn nikiplay sion mabadiliko, na pale kwenye playing module sioni option ya kubadili zaid ya europe,wakati nmeshactivate mods sasa hapo ndo sielewi mkuu.
 

Labda wataalam zaidi waje lakini hata hiyo mod bado ni Europe ila lazima tu ujue ni kwenye ramani inakuwa Ulaya wapi ili uweze kuiselect kama headquarter au wakati unacheza. Mod ambayoni nchi tofauti kabisa ni EAA na Indonesia ambazo kwa 1.37 bado naona hazijatulia sana. Ila za rusmap, middle east zinakubali sema sijaenda hiyo miji bado. Kama hii nimeattach ni middle east na kushoto kwake juu ni ya ulaya na rusmap. Ingia promods.net na pekua vizuri uko kuna ramani kadhaa za 1.37 na tutorials za kuinstall


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu ngoja nijaribu njia yako nione.
 
HAKIKA SHARE MOD NI WEZI TENA SUGU YAANI HII RUSSIAN SIBERIA IMEGOMA KBSA KU RESUME IN IDM WHY ? JUZI UCK NIME DOWNLOAD HIYO MAP MPAKA KUFIKA 88% NET IKAYUMBA KIDOGO WEEE NGOMA IKAKATA YAANI NILIPO
 
HAKIKA SHARE MOD NI WEZI TENA SUGU YAANI HII RUSSIAN SIBERIA IMEGOMA KBSA KU RESUME IN IDM WHY ? JUZI UCK NIME DOWNLOAD HIYO MAP MPAKA KUFIKA 88% NET IKAYUMBA KIDOGO WEEE NGOMA IKAKATA YAANI NILIPO
Sharemods Mbona inajulkana mkuu kwamba idm haiwez resume...ndio mana tukaweka link ya yandex

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mm nataka nirud zangu 1.36 tu maana mods za huku zimenishinda tuu.
karibu huku hondura au tuungane kuitafuta passport ya kwenda russia kwa mr goba
 

Attachments

  • ets2_20200522_035038_00.png
    1.8 MB · Views: 2
  • ets2_20200522_061537_00.png
    1.7 MB · Views: 2
  • ets2_20200522_061720_00.png
    1.5 MB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…