ngoja naludi v 1.1.1 maana ile ni og na key ninazo na nitajalbu ku update ili liende v 1.36 sijui itakubali
sawa ngoja nitest mitamboKama ni OG itakubali kuupdate
daah nishafeli naona kuna ujumbe hapa unadai et key zangu zishatumiwa kufungulia account ya mtu mwingine daah!! sijui hata ni nani makuzi huyu.hawa jamaa yaani ku update latest version et wananigei v 1.35
una reseni ya maana lakin
daah mi ndo kwanza nimepolomoka 1.1.1 ndo niliyonayo kwa sasa
Mmentenga na 1.36 yanguWakuu Member tulioko version 1.37 msitie hofu kuna Member katiwekea map nzuri sana inayoendana na version yetu wakati tukiwasubiri wengine waje washushe vioo na kusikia sound za nje ya gari
chukueni hiyo ina 500 MB map mpya rota fg v 1.37 CLICK HAPO MediaFire
View attachment 1464782
Wakuu Member tulioko version 1.37 msitie hofu kuna Member katiwekea map nzuri sana inayoendana na version yetu wakati tukiwasubiri wengine waje washushe vioo na kusikia sound za nje ya gari
chukueni hiyo ina 500 MB map mpya rota fg v 1.37 CLICK HAPO MediaFire
View attachment 1464782
ni ile ramani ya Hondurandia wameModified ili iweze kuplay kwenye 1.37Mazingira yakoje lakini au ndo full highway?
kweli hapa sihami ng'o yaani bandika bandua huku na kule sijui hata niende wapi sasa , hii ROTA FG aka hondula ni kiboko lazima niichukueWakuu Member tulioko version 1.37 msitie hofu kuna Member katiwekea map nzuri sana inayoendana na version yetu wakati tukiwasubiri wengine waje washushe vioo na kusikia sound za nje ya gari
chukueni hiyo ina 500 MB map mpya rota fg v 1.37 CLICK HAPO MediaFire
View attachment 1464782
Dah nmemis promods kinoma...ile mitaa ya visiwan kutam sana...kuna mbwa mwitu wanalia kinoma[emoji16][emoji16][emoji123] [emoji123] [emoji123] na nikimaliza hii ROTA FG NAENDA kujivinjali ktk visiwa vyenye barafu.
Hapana pingamiz bado kubwa nnalo..goba haijaisha na map ndo kwanza inanoga[emoji16]bas huna tena pingamizi la kukaa huko 1.36 kuja huku 1.37 kisha twenzetu visiwa vya iceland fasta tukacheze na barafu.
π π π π π hapo tu ndo unamaliza yote russia kibokoHapana pingamiz bado kubwa nnalo..goba haijaisha na map ndo kwanza inanoga[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu Member tulioko version 1.37 msitie hofu kuna Member katiwekea map nzuri sana inayoendana na version yetu wakati tukiwasubiri wengine waje washushe vioo na kusikia sound za nje ya gari
chukueni hiyo ina 500 MB map mpya rota fg v 1.37 CLICK HAPO MediaFire
View attachment 1464782
mbona kwangu iko fresh jalibu ku update hiyo win rar yakoDah hili file kila nikiextract linanigomea