Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hatari hii kituna upige/ Extraxt mafaili mawili tu ROTA FG V.1.2. na COMPLEMENTO yote kwa pamoja
P/SE kuna jamaa ametoa tahadhari LESENI ni muhimu maana mieleka na mikambi ni km kawa
Karibu sana
View attachment 1465135
View attachment 1465136View attachment 1465137View attachment 1465136
hatari hii kitu
Ni kweli Mkuu, hii Map mpya ya Hundurandia bila ya kuwa na gari kubwa engine kubwa hutembeiHatari. Na kosa la kwanza utafanya ni kuwa na mashine yenye horsepower ndogo, vile vilima huoandi na mzigo [emoji2]


Ni kweli Mkuu, hii Map mpya ya Hundurandia bila ya kuwa na gari kubwa engine kubwa hutembei
mm nilikuwa na Volvo 730hp nikaipa engine kubwa na gearbox gear22 kuna vilima ilishindwa nikauza mechi nakanunua Volvo miguu 12 mbele stearling miguu mi4 (Mende) ndipo ikapita
kwa hiyo gari lazima iwe kubwa
View attachment 1468432
baada ya kununua Volvo mende ndipo nikapita
View attachment 1468433
Mods zipo humuhumu katika Mada sikumbuki ni post namba ngapi?Mkuu siwezi pata mod za truck zenye uwezo


Engines na gearboxes za kibabe.. Horsepower kama mvua vile..Pack Powerful engines + gearboxes v 11.8 for 1.34.XX | ETS2 mods
Pack Powerful engines + gearboxes V.11.8 for 1.34.XX Update of mod. PROHIBITED UPLOAD THE MOD TO ANY SERVER WITHOUT PERMISSIONS. Changes in Pack Powerful engines + gearboxes V.11.8 for 1.34.XX: - Deleted old files from the previous version - Updated the rest of the files of the mod. - Adapted...ets2.lt
Kaka mambo vipi.Nimetoboa huku kitambo[emoji16]
Naomba hiyo mkuu ndiyo ninaimudu sana. Hii ya sasa sijawahi kuitumia.1.5 mbna ya zaman mkuu
ET !!! 🙌 🙌 🙌 WE MKALINimetoboa huku kitambo[emoji16]

DAAH!!! MBONA UNAPITA KAWAIDA TU BONYEZA NAMBA 3 KUNA ILE CAMERA YA JUU KUELEKEA CHINI INACHUKUA GALI ZIMAView attachment 1468655
wakuu kata shime kcamp , na wengineo hapo kwenye wire mlivukaje? (maana kuna waya wa kulia mbovu gari inanesea upande) mm huwa naomba Garage wanivushe tena niliposhusha mzigo nikanunua Volvo Globetrotter miguu ya mende) mmefunga na treller duh safari hii wametukomesha lazima Dereva awe na leseni yenye akili timamu sio ya daladala au C ya abiria
View attachment 1468669
kuna madaraja mawili, hili lingine nilivuka. lkn lile bovu manapitaje Du developer wa hii Map ya pili kiboko
Boss naomba iliyopo basi kaka. Nitajifunza hivyohivyo hadi kieleweke.1.5 mbna ya zaman mkuu
UNATAKA KUFUATA NYAYO ZA KAREEM ?. MI NINAYO BUT SIJUI KUITUMIA KBSA NA ISHANISHINDA KAMA UKO MUSOMA NJOO UCHUKUEKaka mambo vipi.
Samahani kuwa nje ya dhumuni. (Naomba nisaidie link nipakue Abode Audition 1.5)
Nisaidie tafadhali Boss.