Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Dah hili file kila nikiextract linanigomea
na upige/ Extraxt mafaili mawili tu ROTA FG V.1.2. na COMPLEMENTO yote kwa pamoja
P/SE kuna jamaa ametoa tahadhari LESENI ni muhimu maana mieleka na mikambi ni km kawa
Karibu sana
1590962538201.png

1590962674743.png1590962749553.png1590962674743.png
 
Hivi kuna mod ya speed limit kwenye ets2?
ingia Option
nenda kwenye speed limiter ondoa TIK pia hakikisha umeweka Mod ya engine uweke engine kubwa na gearbox kubwa, pia uwe na gari kubwa, ukiscroll kushuka chini utaiona hapo ipo juu 1591259934060.png
 
Hatari. Na kosa la kwanza utafanya ni kuwa na mashine yenye horsepower ndogo, vile vilima huoandi na mzigo [emoji2]
Ni kweli Mkuu, hii Map mpya ya Hundurandia bila ya kuwa na gari kubwa engine kubwa hutembei
mm nilikuwa na Volvo 730hp nikaipa engine kubwa na gearbox gear22 kuna vilima ilishindwa nikauza mechi nakanunua Volvo miguu 12 mbele stearling miguu mi4 (Mende) ndipo ikapita
kwa hiyo gari lazima iwe kubwa
1591261061023.png
baada ya kununua Volvo mende ndipo nikapita
1591261188603.png
 
Mkuu siwezi pata mod za truck zenye uwezo
Ni kweli Mkuu, hii Map mpya ya Hundurandia bila ya kuwa na gari kubwa engine kubwa hutembei
mm nilikuwa na Volvo 730hp nikaipa engine kubwa na gearbox gear22 kuna vilima ilishindwa nikauza mechi nakanunua Volvo miguu 12 mbele stearling miguu mi4 (Mende) ndipo ikapita
kwa hiyo gari lazima iwe kubwa
View attachment 1468432
baada ya kununua Volvo mende ndipo nikapita
View attachment 1468433
 
Mkuu siwezi pata mod za truck zenye uwezo
Mods zipo humuhumu katika Mada sikumbuki ni post namba ngapi?
ukizipata unaziweka katika Mod Manager angalau Mod ya Power engine na ina gearbox (hapo chini yenye rangi nyekundu) na Fast lever ambayo itakupatia pesa za kununua gari kwa haraka ipo chini kabisa kushoto kwenye picha
1591263473173.png
ukifika Level km ya 50 utaenda kwenye Manunuzi (Truck Dealer) Malori na kununua Lori kubwa la mwisho na kuliwekea injini
ngoja nikutafutie hizo Mods wataalam walishaziweka
1591264823961.png
Engines na gearboxes za kibabe.. Horsepower kama mvua vile..
 
🙌 🙌 🙌 🙌
 
Attachments

  • ets2_20200601_020920_00.png
    ets2_20200601_020920_00.png
    1.5 MB · Views: 2
  • ets2_20200603_101016_00.png
    ets2_20200603_101016_00.png
    386.1 KB · Views: 2
  • ets2_20200603_101924_00.png
    ets2_20200603_101924_00.png
    1,010.6 KB · Views: 2
  • ets2_20200603_102504_00.png
    ets2_20200603_102504_00.png
    1.2 MB · Views: 2
  • ets2_20200603_102633_00.png
    ets2_20200603_102633_00.png
    1.3 MB · Views: 2
  • ets2_20200603_102927_00.png
    ets2_20200603_102927_00.png
    1.3 MB · Views: 2
  • ets2_20200603_105350_00.png
    ets2_20200603_105350_00.png
    1.3 MB · Views: 2
  • ets2_20200603_105826_00.png
    ets2_20200603_105826_00.png
    1.4 MB · Views: 2
  • ets2_20200603_110056_00.png
    ets2_20200603_110056_00.png
    1.4 MB · Views: 2
  • ets2_20200603_110613_00.png
    ets2_20200603_110613_00.png
    1.5 MB · Views: 2
1591280976290.png

wakuu kata shime kcamp , na wengineo hapo kwenye wire mlivukaje? (maana kuna waya wa kulia mbovu gari inanesea upande) mm huwa naomba Garage wanivushe tena niliposhusha mzigo nikanunua Volvo Globetrotter miguu ya mende) mmefunga na treller duh safari hii wametukomesha lazima Dereva awe na leseni yenye akili timamu sio ya daladala au C ya abiria
1591282286916.png
kuna madaraja mawili, hili lingine nilivuka. lkn lile bovu manapitaje Du developer wa hii Map ya pili kiboko
 
View attachment 1468655
wakuu kata shime kcamp , na wengineo hapo kwenye wire mlivukaje? (maana kuna waya wa kulia mbovu gari inanesea upande) mm huwa naomba Garage wanivushe tena niliposhusha mzigo nikanunua Volvo Globetrotter miguu ya mende) mmefunga na treller duh safari hii wametukomesha lazima Dereva awe na leseni yenye akili timamu sio ya daladala au C ya abiria
View attachment 1468669
kuna madaraja mawili, hili lingine nilivuka. lkn lile bovu manapitaje Du developer wa hii Map ya pili kiboko
DAAH!!! MBONA UNAPITA KAWAIDA TU BONYEZA NAMBA 3 KUNA ILE CAMERA YA JUU KUELEKEA CHINI INACHUKUA GALI ZIMA
 
Kaka mambo vipi.

Samahani kuwa nje ya dhumuni. (Naomba nisaidie link nipakue Abode Audition 1.5)

Nisaidie tafadhali Boss.
UNATAKA KUFUATA NYAYO ZA KAREEM ?. MI NINAYO BUT SIJUI KUITUMIA KBSA NA ISHANISHINDA KAMA UKO MUSOMA NJOO UCHUKUE
 
Back
Top Bottom