Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Mkuu naomba tena Map yoyote ya Russia maana 1.36 imekubali
nataka nione vumbi lako nije na Volvo huko maana Hondulandia mieleka mingi
Doh hongera mkuu ....link hyo hapo chin mdau kasha repost..karbu mzee mitaa yetu
 
asanteni sana napeleka huu mzigo mara moja naja huko Russia
kumbe daraja moja la reli fake, safari hivyo nakayavaa maCaterpiller na nikatoboa

 
kupataza route nje ya europe inakuwaje? kwa cracked unapata?
nimepewa ya Russia hiyo post ya juu (#2762) hapo, humu ndani zipo za Brazil. Peru, Indonesia, Hondurandia nk
 
PROMODS 2.46
 

Attachments

  • ets2_20200605_005116_00.png
    813.3 KB · Views: 2

Attachments

  • ets2_20200606_114922_00.png
    832.1 KB · Views: 2
  • ets2_20200606_115753_00.png
    1.2 MB · Views: 2
  • ets2_20200606_115823_00.png
    1.3 MB · Views: 2
  • ets2_20200606_115911_00.png
    1.1 MB · Views: 2
  • ets2_20200606_115917_00.png
    1.2 MB · Views: 2
  • ets2_20200606_120053_00.png
    1.3 MB · Views: 2
  • ets2_20200606_120153_00.png
    1.1 MB · Views: 2
  • ets2_20200606_121319_00.png
    1.2 MB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…