sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,291
ngoja nivute subila hapa nimekopa mkopo wa euro 500000 naludisha mdogo mdogo deni likiisha nanunua s750 yangu nafunga bo nge la ngao alafu tuone sasa watanifanya nini 🤒🤒Kuna wakorofi sana mule.. Wengine wanakukuta mlangoni anakuvaa tu..
haahaa😀😀 afadhali yako jana nilienda england baada ya kutoka kwenye ile fell nilikuta jamaa wamegongana sijui ulikuwa ni ushamba wa barabara au niniMi nimepiga route ya kwanza jamaa kaja kanivaa barabarani humo nika quit kwanza.. Ya pili nikaenda fresh bila kukimbizana nimefika vizuri.. Ila wengi ni wastaabu hadi una enjoy
salam za siku mkuu?saramu wakuu
Sarama?
karibuAiseeeee nakubali sana hii game ila sikujua kama kuna mambo kama haya cjui kuchagua routes tofauti na zile, cjui kukutana online inabidi kesho nijaribu kuona
Nipo wakuusalam za siku mkuu?
namiliki truck yenye engine hp 350 yaani jamaa wana nitesa kweliUkikutana na wastaarabu kule online hadi una furahia.. Ila sasa kuna wengine wanaboa kichizi.. Unakuta mtu Hajali taa za barabarani, wala hamna ustaarabu..
Yaani mle ukitaka ku enjoy we usipende ligi na mtu.. Endesha kawaida tu utakutana na wengine nao wapo poa tu.. Ukitaka ligi mle nmegundua kwanza kuna wale wanatembea na trailer lipo tupu.. Unaweza ukasema umfukuze we na mzigo wako ukaishia kupasua kichwa tu..namiliki truck yenye engine hp 350 yaani jamaa wana nitesa kweli
HIZO LIGI MI NDO NAZITAKA. SOON NAFUNGA HP 750 SIJUI WATANIFANYA NINIYaani mle ukitaka ku enjoy we usipende ligi na mtu.. Endesha kawaida tu utakutana na wengine nao wapo poa tu.. Ukitaka ligi mle nmegundua kwanza kuna wale wanatembea na trailer lipo tupu.. Unaweza ukasema umfukuze we na mzigo wako ukaishia kupasua kichwa tu..
WE GEM UMETOLEA WAP? NA NI VERSION GAN?Siku nzima nimekua nkijaribu ku activate naambiwa Invalid keys, nifanyeje?
Kupata keys bila kulipia ni ishu mkuu.. Hapa naona wengi tuliamua kulipia tu maana walikuwa na offer walishusha sana bei kwenye steam..Siku nzima nimekua nkijaribu ku activate naambiwa Invalid keys, nifanyeje?