Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Mi nimepiga route ya kwanza jamaa kaja kanivaa barabarani humo nika quit kwanza.. Ya pili nikaenda fresh bila kukimbizana nimefika vizuri.. Ila wengi ni wastaabu hadi una enjoy
 
Kuna wakorofi sana mule.. Wengine wanakukuta mlangoni anakuvaa tu..
ngoja nivute subila hapa nimekopa mkopo wa euro 500000 naludisha mdogo mdogo deni likiisha nanunua s750 yangu nafunga bo nge la ngao alafu tuone sasa watanifanya nini 🤒🤒
 
Mi nimepiga route ya kwanza jamaa kaja kanivaa barabarani humo nika quit kwanza.. Ya pili nikaenda fresh bila kukimbizana nimefika vizuri.. Ila wengi ni wastaabu hadi una enjoy
haahaa😀😀 afadhali yako jana nilienda england baada ya kutoka kwenye ile fell nilikuta jamaa wamegongana sijui ulikuwa ni ushamba wa barabara au nini
 
JAMANI KUNA MTU ANATUMIA ID YANGU KWENYE STEAM ACC KU PLAY EURO TRUCK MURTIPLAYER SASA NAOMBA MALA MOJA AACHE TUSIJE KUHALIBIANA SIKU
 
Attachments

  • Euro Truck Simulator 2 Multiplayer 7_6_2020 11_38_55 PM.png
    Euro Truck Simulator 2 Multiplayer 7_6_2020 11_38_55 PM.png
    1.7 MB · Views: 2
saa hii huku MP kuna foleni ya hizi truck ni ndefu baraa hata zaid ya mod ya traffic chek hapa
 
Attachments

  • ets2_20200706_105224_00.png
    ets2_20200706_105224_00.png
    1 MB · Views: 2
  • ets2_20200707_030839_00.png
    ets2_20200707_030839_00.png
    1.4 MB · Views: 2
  • ets2_20200707_032712_00.png
    ets2_20200707_032712_00.png
    1.3 MB · Views: 2
  • ets2_20200707_033451_00.png
    ets2_20200707_033451_00.png
    582.6 KB · Views: 2
  • ets2_20200707_031901_00.png
    ets2_20200707_031901_00.png
    1.2 MB · Views: 2
Ukikutana na wastaarabu kule online hadi una furahia.. Ila sasa kuna wengine wanaboa kichizi.. Unakuta mtu Hajali taa za barabarani, wala hamna ustaarabu..
 
Ukikutana na wastaarabu kule online hadi una furahia.. Ila sasa kuna wengine wanaboa kichizi.. Unakuta mtu Hajali taa za barabarani, wala hamna ustaarabu..
namiliki truck yenye engine hp 350 yaani jamaa wana nitesa kweli
 
namiliki truck yenye engine hp 350 yaani jamaa wana nitesa kweli
Yaani mle ukitaka ku enjoy we usipende ligi na mtu.. Endesha kawaida tu utakutana na wengine nao wapo poa tu.. Ukitaka ligi mle nmegundua kwanza kuna wale wanatembea na trailer lipo tupu.. Unaweza ukasema umfukuze we na mzigo wako ukaishia kupasua kichwa tu..
 
HIZO LIGI MI NDO NAZITAKA. SOON NAFUNGA HP 750 SIJUI WATANIFANYA NINI
 
Back
Top Bottom