Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

HIZO LIGI MI NDO NAZITAKA. SOON NAFUNGA HP 750 SIJUI WATANIFANYA NINI
Yeah.. Ukiwa na mshine ya nguvu fresh tu.. Ila iwe nje ya mji.. Ukiwa mjini naona ukiwa unazidisha sana spidi wanakutupa njee.. Uzuri nmeona unaweza ukapanga watu kama wawili na kuendelea mnachagua mnaanza sehem moja then muende sehem moja.. Hapo ndo raha sasa
 
EBWAAANA WEE HAPO SASA. ndo napahitaji UKWAJU UKO WAPI WEWE TWENZETU JIJINI MANCHESTER ...
 
kuna mkenya kaniambia yeye yuko na group na hata hapa tz kumbe group lipo
 
hiv huyu mrusi anatutaka nini jamni yaani map project ya v 1.37 hata hatujaipata yeye kashafika 1.38 daah
 
WAKUU HII SI YA KUKOSA. TRAIREL TRAFFIC PACK !! FROM TZ !! INAKUJA % 💯 . SOON NADODONSHA LINK HAPA TULIZOEA KUZIONA KWA KINA JAZZCAT NA WENGINEO LAKINI SASA NI HAPA HAPA
 

Attachments

  • ets2_20200712_022033_00.png
    1.3 MB · Views: 2
  • ets2_20200712_021956_00.png
    1.4 MB · Views: 2
  • ets2_20200712_022024_00.png
    1.3 MB · Views: 2
Haya jamani, Mimi Baba Nla wa Europe nimebadilisha Pc, now nina Asus N53sn 700HDD, Intel i7, NVIDIA Geoforce 550 2Gb, lakini baada ya kuinstal Euro Truck naona linanambia euro truck has found no valid graphic device found, nimejaribu ku-update graphic card, kuli-uninstal lakin naona bado linanipa iyo error, naombeni mlowahi kukutana na hii ishu mnisaidie niendelee kuenjoy my Europe..
Natanguliza shukrani
 
Aisee...hii mbna mpya

Vp direct x ipo?
 
Ume update graphics kwa kutumia nn?
 
Nimetumia ile njia ya device manager>display>graphic update
Hii ndo yenyew sasa hapo hatar kama unapata hiyo error..ngoja wadau waje..namim badae nikitulia ni google vzr
 
Hii ndo yenyew sasa hapo hatar kama unapata hiyo error..ngoja wadau waje..namim badae nikitulia ni google vzr
yaan daah, may be ni window itakua na shida but everything iko good, natumia window ya 2019 but magem mengine yana play fresh, nina Need For Speed Most Wanted na PES 2017 yako poa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…