sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,291
Yeah.. Ukiwa na mshine ya nguvu fresh tu.. Ila iwe nje ya mji.. Ukiwa mjini naona ukiwa unazidisha sana spidi wanakutupa njee.. Uzuri nmeona unaweza ukapanga watu kama wawili na kuendelea mnachagua mnaanza sehem moja then muende sehem moja.. Hapo ndo raha sasaHIZO LIGI MI NDO NAZITAKA. SOON NAFUNGA HP 750 SIJUI WATANIFANYA NINI