Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Wakuu game langu nimeinstal mchana na nimelicheza sana tu nilipokuja kulifungua tena sasa ivi linagoma....nimejaribu kuliinstal tena naona inaishia kuload apo tu
 
Wakuu game langu nimeinstal mchana na nimelicheza sana tu nilipokuja kulifungua tena sasa ivi linagoma....nimejaribu kuliinstal tena naona inaishia kuload apo tuView attachment 1084188View attachment 1084189
Sawa mkuu shukrani ila sasa ndo kama unavoona tena apo naomba unisaidie apo nifanyeje tena
 
Wale ambao hatuna laptop badala yake tuna smartphones tu comment wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…