Rooney
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 3,781
- 3,931
Mkuu hiyo link inasema bad torrent idcheck Post # 161 na # 205
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hiyo link inasema bad torrent idcheck Post # 161 na # 205
Jamaa wamelitoa naona..Mkuu hiyo link inasema bad torrent idView attachment 1084981
Mkuu kama unaweza kutoa VIRUS watoe au la install window upyaApo ndipo nilipoishia mkuu nikiclik tu inaishia apoView attachment 1084919
Mkuu nashukuru mimi lilifunguka nikaingia fail la download nikalifungua kwa ExtactJamaa wamelitoa naona..
Mkuu ulitakiwa utoe kwanza lililokuepoMkuu nashukuru mimi lilifunguka nikaingia fail la download nikalifungua kwa Extact
likafunguka hatua ya kwanza kwa kunipa warning kuwa litaharibu Mod na hatua nyingine za ETS ya mwanzo, nikalihamishia kwingine, sasa Game inaishia pale mwanzo wa madereva na kuchagua Trip
Je nibadili Profile nianze mwanzo
au ningoje kwanza maana lisije kula na Game ya mwanzo zote
msaada p/se
upo sahihi kabisa ni mara mbili wameniuzliza niDelete faili la Eurotruck ili kupisha lingine nikakataaMkuu ulitakiwa utoe kwanza lililokuepo
Anyway create profile mpya tuone
Skia,achana na huo ulegend,,ukiutaka tena kuna mod ya fast levelupo sahihi kabisa ni mara mbili wameniuzliza niDelete faili la Eurotruck ili kupisha lingine nikakataa
pia wamenitumia mawili la kwenye shortcut 32 - bit na 64 pia na Ant virus naona kuna kitu wamegundua
ngoja nicheze na Profile au nikubali niue la kwanza
chini kabisa kwenye taskbar la mwisho kulia ndio jipya kurudi kushoto ni ant virus na lifuatalo ni game la zamani nipo Legend
View attachment 1085182
Nimekuelewa teacher wetu kcamp The greatest game linafunguka lakini lina screen resoluion chafu sana na pcha zinasheke ni bora kuzifutaSkia,achana na huo ulegend,,ukiutaka tena kuna mod ya fast level
Futa takataka ya zaman hiyo..game iwepo moja tu ya 1.34
Mbona ujafata maelekezo mkuuApo ndipo nilipoishia mkuu nikiclik tu inaishia apoView attachment 1084919
nili UncheckEbu Go to Users/Public/Public Documents/Steam ---> Delete Steam
Kaplay game ---> Create profile ---> af kwenye option ya use steam wewe Uncheck "Use Steam Cloud"...usishau hapo ku unchek use steam ndio uchawi ulipo..kisha game itacheza fresh
Mkuu ww umevulunda game [emoji16]Mkuu kcamp msaada p/se sasa hivi game lolote halifunguki, la 32 bit au 64 bit naona hiyo steam inajitokeza tena kuna post uliandika tuanzie User naomba maelekezo mtaalam yoyote
nili Uncheck
View attachment 1085404
ok nimeshadelete, kwa hiyo nianzie kwenye Zip na Extract zipi kufungua hapo kwenye screen shot?Mkuu ww umevulunda game [emoji16]
Kwanza un uninstall kabisa uanze upya
Hapo uko sawa..subr sasa limalzenimeanza na Set up je na hizo nyingine ni zipi au navurunda tena?
View attachment 1085681
Mkuu limeplay lakini likagoma kabisa, na resolution sio nzuriHapo uko sawa..subr sasa limalze
Linagomaje? Ww utakua huku unchek ile option ya steam ndoamana...usipo fanya hivyo lita play mara ya kwanza tu basiMkuu limeplay lakini likagoma kabisa, na resolution sio nzuri
huenda ni window yangu kuwa ndogo (Window 7 Ultimate)
kesho nitaupgrade hadi Window10 nilete mrejesho
yale mengine yaliPlay bila wasiwasi
Mkuu kule kwenye Profile za madereva kuna EditLinagomaje? Ww utakua huku unchek ile option ya steam ndoamana...usipo fanya hivyo lita play mara ya kwanza tu basi
Use steam inatakiwa u untick kibox..ni hapo hapo una create profileMkuu kule kwenye Profile za madereva kuna Edit
baada ya hapo kuna kibox steam hakijajazwa kitu
ukiweka v kinakwambia wrong profile au sio hicho?
labda kipo kingine nieleweshe Mkuu
ili nianze upya tena
niko nashusha huu mzigo hapaUse steam inatakiwa u untick kibox..ni hapo hapo una create profile
Mkuu naona umeelewa hyo busniko nashusha huu mzigo hapa
View attachment 1086051
Sasa mkuu mods za kuongeza engine power nazipata wapi hapa
View attachment 1086052