Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

check Post # 161 na # 205
Mkuu hiyo link inasema bad torrent id
Screenshot_2019-04-30-19-07-08-963_com.android.chrome.jpeg
 
Jamaa wamelitoa naona..
Mkuu nashukuru mimi lilifunguka nikaingia fail la download nikalifungua kwa Extact
likafunguka hatua ya kwanza kwa kunipa warning kuwa litaharibu Mod na hatua nyingine za ETS ya mwanzo, nikalihamishia kwingine, sasa Game inaishia pale mwanzo wa madereva na kuchagua Trip
Je nibadili Profile nianze mwanzo
au ningoje kwanza maana lisije kula na Game ya mwanzo zote
msaada p/se
 
Mkuu ulitakiwa utoe kwanza lililokuepo

Anyway create profile mpya tuone
 
Mkuu ulitakiwa utoe kwanza lililokuepo
Anyway create profile mpya tuone
upo sahihi kabisa ni mara mbili wameniuzliza niDelete faili la Eurotruck ili kupisha lingine nikakataa
pia wamenitumia mawili la kwenye shortcut 32 - bit na 64 pia na Ant virus naona kuna kitu wamegundua
ngoja nicheze na Profile au nikubali niue la kwanza
chini kabisa kwenye taskbar la mwisho kulia ndio jipya kurudi kushoto ni ant virus na lifuatalo ni game la zamani nipo Legend
1085182
 
View attachment 1085182
Skia,achana na huo ulegend,,ukiutaka tena kuna mod ya fast level

Futa takataka ya zaman hiyo..game iwepo moja tu ya 1.34
 
Nimekuelewa teacher wetu kcamp The greatest game linafunguka lakini lina screen resoluion chafu sana na pcha zinasheke ni bora kuzifuta
najua umechoka lakini nizidelete wapi? kule kwenye download au niwadelete madereva
 
Mkuu kcamp msaada p/se sasa hivi game lolote halifunguki, la 32 bit au 64 bit naona hiyo steam inajitokeza tena kuna post uliandika tuanzie User naomba maelekezo mtaalam yoyote
Ebu Go to Users/Public/Public Documents/Steam ---> Delete Steam
Kaplay game ---> Create profile ---> af kwenye option ya use steam wewe Uncheck "Use Steam Cloud"...usishau hapo ku unchek use steam ndio uchawi ulipo..kisha game itacheza fresh
nili Uncheck
1085404
 
Mkuu kcamp msaada p/se sasa hivi game lolote halifunguki, la 32 bit au 64 bit naona hiyo steam inajitokeza tena kuna post uliandika tuanzie User naomba maelekezo mtaalam yoyote

nili Uncheck
View attachment 1085404
Mkuu ww umevulunda game [emoji16]

Kwanza un uninstall kabisa uanze upya
 
Mkuu ww umevulunda game [emoji16]
Kwanza un uninstall kabisa uanze upya
ok nimeshadelete, kwa hiyo nianzie kwenye Zip na Extract zipi kufungua hapo kwenye screen shot?
Redist
autorun
setup
1085678
 
nimeanza na Set up je na hizo nyingine ni zipi au navurunda tena?
1085681
 
Hapo uko sawa..subr sasa limalze
Mkuu limeplay lakini likagoma kabisa, na resolution sio nzuri
huenda ni window yangu kuwa ndogo (Window 7 Ultimate)
kesho nitaupgrade hadi Window10 nilete mrejesho
yale mengine yaliPlay bila wasiwasi
 
Linagomaje? Ww utakua huku unchek ile option ya steam ndoamana...usipo fanya hivyo lita play mara ya kwanza tu basi
 
Mkuu kule kwenye Profile za madereva kuna Edit
baada ya hapo kuna kibox steam hakijajazwa kitu
ukiweka v kinakwambia wrong profile au sio hicho?
labda kipo kingine nieleweshe Mkuu
ili nianze upya tena
 
Use steam inatakiwa u untick kibox..ni hapo hapo una create profile
 
Back
Top Bottom