Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Neza tumia njia gani ku cruck izo key
Nenda kwenye websites za torrent zmejaa ets nyingi tu na crack zake.. Huna haja ya kutafuta keys ila utacheza offline tu.. Kama unataka original ni kununua tu.. Hawa jamaa wanabama sana..
 
salam ziwafikie wapenda ligi trucker MP chuma kiko tayali kwa maangamizi scania s 730 hp
 

Attachments

  • ets2_20200719_072409_00.png
    1.2 MB · Views: 2
Habari za Leo Madereva Wa ETS2, Mimi ni Hans Mapunda, Nipo Mafinga Iringa. Ni mdau sana wa ETS2 na Flight Simulators (Microsoft Flight Simulator,X Plane 11) . Kwenye ETS2 nipo upande wa kutengeneza Hshifter, Steering Wheel, Pedals. Kwa sasa Namalizia My New DIY Hshifter, Steering Wheel na Pedals lakini pia ninatengeneza pia kwa ajili ya Wadau wengine ambao watahitaji kwa gharama nafuu sana. Soon nitaanza kurusha kwenye huu uzi na kwenye channel yangu(hansmapunda) youtube. Naombeni mnikaribishe. Asanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…