Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Hivi kwenye upande wa Mods mmefikia wapi? Nazungumzia mods za Ramani, Cabins, Engines na Trailers.
daah kidogo hapo naona tumepiga hatua kwani sasa tuna weza tengeneza trailer zetu na hata kuziweka kama traffic njian. ila hapo kwenye map bado maana kuna hitaji utulize kichwa na kuna mlolongo mrefu.
 
Ets2 online tayar kuna members kama watatu walibuy ets2 week mbil nyuma kulikua na discount kule steam... almost 75% off yani ikawa ni$4 tu...sasa wengine offa ikaisha tumeikosa kutokana na page ya steam ikawa haipo stable mda ule...

Ndio tunajipanga hapa tuhamie huko..ila tayar kuna wadau wapo huko Trucker's MP..soon watakuja hapa na id zao....

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Mkuu mbona kama hii offer bado ipo nimetoka kufungua website ya steam muda si mrefu na hiyo offer bado ipo.
Steam.PNG
 
Aisee kumbe huko hakuna yale mambo ya 3000hp?

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
halafu wakali haswa hawataki waone unachanganya na CRACK hata Mods zisizo zao hawataki
pia uwe Online ili uwe updated (hii nilishtukia nimeingizwa 1.38 version
imebidi nirudi nyuma ya 1.37
Zile crack za mitaa ya Hondulandia nazitamani
 
Haha basi huko siji mim
..mana hapa nna map inaitwa tsa map..yan nakula off road kama sina akil nzur [emoji3]

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
JAMANI kwa ninavyo jua iko hivi wote hao unao waona wanatengeneza mod za map wanategemea kitu kiitwacho DLC sasa hapo kwenye DLC zipo nyingi ila wao hutegemea haswa zile za map mfano going east dlc, viva la france dlc, italia dlc, sasa iko hiv mtengenezaji wa hiyo map akiwa tayali ana hizo dlc za map zote [7] na wewe ukiwa huna hata dlc mp hata 1 huwezi kucheza hiyo map iliyo tengenezwa kwa hizo dlc 7. RAMANI ya ulaya ni ramani moja nzuli mno kama hamjajua haswa kwakipindi hiki V 1.38 jamaa wamepiga kazi haswa askwabie mtu [ anae tumia hii ramani kwa sasa bila mod yoyote lazima aflahie] na trucker mp hutoa mod fran hiv ya winter kila ifikapo mwezi wa 12 yaani kila sehem unayopita bara la ulaya kuna barafu. hii ndo baraa sana.
 
Attachments

  • Manage DLC 7_27_2020 12_49_37 PM.png
    Manage DLC 7_27_2020 12_49_37 PM.png
    398.3 KB · Views: 2
  • Manage DLC 7_27_2020 12_49_49 PM.png
    Manage DLC 7_27_2020 12_49_49 PM.png
    386.1 KB · Views: 2
Ndiyo nitakuwa nauza tena kwa gharama nafuu sana ili wadau muweze kuzitumia na mfaidi. Pia nitakuwa na Flight Simulator Yokes kwa ajili ya Flight Simulation
Dah mkuu hapa utakuwa umecheza km Pele maana wahindi wanatutesa sn kule u tube na tutorial zao aisee.
 
Back
Top Bottom