Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Karibu sana mkuu..ww ni mdau mkubwa wa ets2 hapa jukwaan ..kuna siku humu watu wakakuulizia mana ulipotea ghafla ....ila kwakua umerud nafkr tutakua pamoja

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Oh nashukuru mkuu umenikumbuka, hata mimi nakukumbuka.Kweli, NiLipotea kwa Kipindi ila nimerudi Sasa. Nimefurahi kuona uzi wa mods, sijajua kama mnachezaga ETS2 online?
 
Oh nashukuru mkuu umenikumbuka, hata mimi nakukumbuka.Kweli, NiLipotea kwa Kipindi ila nimerudi Sasa. Nimefurahi kuona uzi wa mods, sijajua kama mnachezaga ETS2 online?
Ets2 online tayar kuna members kama watatu walibuy ets2 week mbil nyuma kulikua na discount kule steam... almost 75% off yani ikawa ni$4 tu...sasa wengine offa ikaisha tumeikosa kutokana na page ya steam ikawa haipo stable mda ule...

Ndio tunajipanga hapa tuhamie huko..ila tayar kuna wadau wapo huko Trucker's MP..soon watakuja hapa na id zao....

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Ok poa hiyo itakuwa vizuri sana. Basi washtue. Mimi ninayo siku nyingi sana na muda mwingi nilikuwa nacheza online.
 
mkuu ulikuwaga wapi. KARIBU TENA SANA TU
 
fireeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…