Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Bei hiyo siyo Reasonable, angalia hapo unapata usukani tu na hizo buttons. Ukitaka uinjoy ets2 unatakiwa uwe a usukani, pedals na shifter ndiyo maana mimi nilimua kutengeneza mwenyewe.

Jana nilishinda natengeneza Pedal, hshifter na Usukani. Nashukuru Mungu nimemaliza na Vinafanya Kazi vizuri. Nataka Nipige Rangi then nitapublish hapa ili muone.
 
Hehehehehe we jamaa ni kiboko, aisee utapiga hela sn but plz bei elekezi iwe affordable ili soko liwe kubwa mzee.
 
Kila nikijaribu kuweka maps kwenye folder la mod,,nikijaribu kuload game inagoma
.Nisaidieni nataka kuweka new maps
 
Nikiload game,,kua baadhi ya maandishi hayaonekani..Mimi naona kwenye profile..Maandishi ya chini zaidi hayaonekani
 
Ndio maana niliuliza, basi hapo hakuna kuaenjoy bila hizo shifter na pedal huwezi pata ule utamu wa manual
 

Saf sana mkuu 2po pamoja me shamalza h-shifta
 
Inaonesha hivi..So hizo option nyingine sioni..Tatizo litakua nn?View attachment 1523552
😀 😀 kwa halaka tu hiyo ni v 1.1.1 [2012] broo hiyo hai sapport mod yoyote ile panda juu hapo mwanzoni mwa thread kuna link ya game k camp kaweka download kisha weka mod yako lazima itakubali au kama unaweza nunua game geniun kupitia steam ni dola kadhaa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…