Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Nnawazoom tu,me Niko puno ,nmeingia korongoni
Nnasubir winch lije linitoe
kcamp kata shime officiar wazee mnisaidie mnaroho mbayaaaaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ puno ni msala wengine tulikimbilia hondula nako kukawa ni msala zaidi ya puno πŸ˜‚πŸ˜‚ mwisho tumeludi ulaya kama kawa πŸ˜‚πŸ˜‚ huku nako msala hakuna kuweka mod ya engine ya hp 3000 wala 1000.
 
Nahisi Wadau wapo wengi sana, sema hawajafahamu forum ya ets2 iko wapi.
na kuna baadhi ya watu niliwah ikuwaulizia kuhusu jf asilimia 80 walidai hata hawaijui jf. sijui walinidanganya. kwa kuhofia kujulikana
 
Atar mzee babaa
 
Nnawazoom tu,me Niko puno ,nmeingia korongoni
Nnasubir winch lije linitoe
kcamp kata shime officiar wazee mnisaidie mnaroho mbayaaaaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
cha mtoto hapo Puno, bado tu upo korongoni, hujaita garage wakutoe
basi cheza game kwa Save&Load
lkn kwa ushauri ingia Hondulandia ile part 2 tafuta mumu humu wababe walishaitupia
 
na kuna baadhi ya watu niliwah ikuwaulizia kuhusu jf asilimia 80 walidai hata hawaijui jf. sijui walinidanganya. kwa kuhofia kujulikana
Wengi wanaijua km chombo cha habari tu lkn hawajui ikoje, yn cku wabongo wataijua Jf wale wa fb wote watahamia humu amini kwamba mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…