Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Nnawazoom tu,me Niko puno ,nmeingia korongoni
Nnasubir winch lije linitoe
kcamp kata shime officiar wazee mnisaidie mnaroho mbayaaaaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
😂😂😂😂😂😂 puno ni msala wengine tulikimbilia hondula nako kukawa ni msala zaidi ya puno 😂😂 mwisho tumeludi ulaya kama kawa 😂😂 huku nako msala hakuna kuweka mod ya engine ya hp 3000 wala 1000.
 
Naipataje Hii kitu
Mbona naona kama sale imeisha? Cheki hapo chini au nimekosea
Screenshot_2020-08-01-19-48-31.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] puno ni msala wengine tulikimbilia hondula nako kukawa ni msala zaidi ya puno [emoji23][emoji23] mwisho tumeludi ulaya kama kawa [emoji23][emoji23] huku nako msala hakuna kuweka mod ya engine ya hp 3000 wala 1000.
Atar mzee babaa
 
Nnawazoom tu,me Niko puno ,nmeingia korongoni
Nnasubir winch lije linitoe
kcamp kata shime officiar wazee mnisaidie mnaroho mbayaaaaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
cha mtoto hapo Puno, bado tu upo korongoni, hujaita garage wakutoe
basi cheza game kwa Save&Load
lkn kwa ushauri ingia Hondulandia ile part 2 tafuta mumu humu wababe walishaitupia
 
na kuna baadhi ya watu niliwah ikuwaulizia kuhusu jf asilimia 80 walidai hata hawaijui jf. sijui walinidanganya. kwa kuhofia kujulikana
Wengi wanaijua km chombo cha habari tu lkn hawajui ikoje, yn cku wabongo wataijua Jf wale wa fb wote watahamia humu amini kwamba mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom