Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Yes mi pia nna jamaa zangu kama wa 4 hivi wanacheza ets2 version za nyuma kidgo...hapa juzi tu nimewaonyesha ntafungua vioo ndio wamekuja kuifata hapa home

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
hawa sijui taalifa huwa hawazipati?. kwa mfano nilichukua zile picha zako ulizopiga kwa mr goba huko siberia nikawaonesha majamaa flani hiv hivi nikawauliza " je hii ni map gani" wengi walijibu russian open space. wengine rusmap wengine puno peru na hakuna aliyesema kuwa hiyo ni siberia
 
Haha wako less informed

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Habari ya Jioni Madereva wa ETS2, Naingia kucheza online. Kama mtu yupo online yaani on TruckerMP aniambie ili niungane naye.
mkuu mi nipo tena nipo pale pale uholanzi kwenye ile garage
 

Attachments

  • ets2_20200801_115431_00.png
    1.1 MB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…