Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Attachments

  • ets2_20200830_005418_00.png
    1.5 MB · Views: 2
  • ets2_20200830_033237_00.png
    1.8 MB · Views: 2
  • ets2_20200830_033438_00.png
    1.6 MB · Views: 2
  • ets2_20200830_034706_00.png
    1.7 MB · Views: 2
Kuna brand moja inatengeneza mod za kuongeza map kwenye ili game inaitwa wombat trucker na zinaonyesha adition road kwenye ets2 ila sasa nikijaribu kuad izo mod kwenye game langu lina corrupt ali play unaweza nisaidia kwann
 
Umechek compatibility ya mods na version yako ya ets2?

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Kuna brand moja inatengeneza mod za kuongeza map kwenye ili game inaitwa wombat trucker na zinaonyesha adition road kwenye ets2 ila sasa nikijaribu kuad izo mod kwenye game langu lina corrupt ali play unaweza nisaidia kwann
Game version inaendana na mood version
 
Kwa wale wanaohitaji game la kwenye simu wapakue GTS ni zuri na lina uhalisia fulani hv, ofcz linafanana na ETS2 ila kasimu kako kawe na ujazo kiasi, zipo mbili we pakua zote km vp, zipo play store.
 
Kwa wale ambao wanahitaji kucheza game la ets2 lkn wanakabiliwa na changamoto mbalimbali mfano kutokuwa na PC n.k, wanaweza kupakua game la gts2 ambalo ni la simu, ni nzr na inayofanana kidogo na ets2 japo co kivile ila features zake zina kamfanano fulani hv.

Game lipo play store zipo mbili we pakua zote cz zote zpo vzr moja ni muendelezo wa nyingine [emoji116][emoji116][emoji116]
 
Wataalamu mimi shida yangu kila nikisave profile then nikaizima pc
Nikiwasha pc nikaplay ETS 2
inataka ni create new profile wakati Nisha create zamani
Nakwama wapi wadau??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…