Wakujilipua
JF-Expert Member
- May 5, 2018
- 1,584
- 1,393
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii map tamu zaid ya stock yanPROMODS 2.50 FIREEEEEEEE
Version ngpPROMODS 2.50 FIREEEEEEEE
ETS 2 V 1.38.........PROMODS V 2.50Version ngp
NI MJI WA krikenes KWENYE BRANCH YA STEIN
hiyo sehemu ina kona na milima mirefu tena mikali mno kama rota fg........................ cha ajabu kuna vichaa wanatembea na kontena mbili mpaka tatu yaani ni fujo tupu............ tena ni masaa 24........ truck hazi jawahi kuisha hapo.
MKUU HAIITWI WOMBERT TRUCK.... HIYO HUITWA GLOBAL MAP COMBO......NA MAP INAYO WAUNGANISHA WOTE HAO NI PROMODS .... UKIWA NA promods unaweza kuunga map nyingi kwa wakati mmja na zote zikapiga kazi wakati mmja ........map hizo ni kama ........ MAPA EAA,,,,,RUS MAP,,,SOUTHERN REGION,,,, North Macedonia Rework,,,, Paris Rebuild ,,,,,,, Project Turkey ,,, Swedish Islands ,,,, Promods Middle East...na nyingine nyingi..cha kuzingatia mod version lazima iendane na game version husika.Kuna brand moja inatengeneza mod za kuongeza map kwenye ili game inaitwa wombat trucker na zinaonyesha adition road kwenye ets2 ila sasa nikijaribu kuad izo mod kwenye game langu lina corrupt ali play unaweza nisaidia kwann
Dah kwel [emoji16]hiyo sehemu ina kona na milima mirefu tena mikali mno kama rota fg........................ cha ajabu kuna vichaa wanatembea na kontena mbili mpaka tatu yaani ni fujo tupu............ tena ni masaa 24........ truck hazi jawahi kuisha hapo.
MKUU HII MAP YA PAPUA GEINEA INA PASSWORD
Ipo kweny description pale youtube mkuuMKUU HII MAP YA PAPUA GEINEA INA PASSWORD
hiyo ni v 1.1.1 kamwe halina uwezo wa kuweka mod ushauli nenda steam kanunue game OG au download kupitia site hapo juu mwanzoni mwa thread kuna linkJaman mbna game lang halina mod managerView attachment 1585363
Tbt hii..tafuta latest version..link ipo kweny thread chin kbisa...alaf mbna game lako la blue mkuu[emoji3]Jaman mbna game lang halina mod managerView attachment 1585363
Inaonekana kabisa ni mdosho from tmk[emoji3][emoji3]Tbt hii..tafuta latest version..link ipo kweny thread chin kbisa...alaf mbna game lako la blue mkuu[emoji3]
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Bila shaka pro mod[emoji1739] [emoji1739] [emoji1739] [emoji1739] [emoji1739] [emoji1739] WAPE SALAM ZAO
ndo penyewe hapo mkuu wala hujakosea daahh hii mapa ina barabara nzuli kwelikweli yaani promods online una play na mwenzako huwezi kuchoka