Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

PROMODS 2.50 FIREEEEEEEE
 

Attachments

  • ets2_20200927_042103_00.png
    1.4 MB · Views: 2
  • ets2_20200927_034343_00.png
    1.5 MB · Views: 2
  • ets2_20200927_034822_00.png
    1.6 MB · Views: 2
Hii map tamu zaid ya stock yan

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
hiyo sehemu ina kona na milima mirefu tena mikali mno kama rota fg........................ cha ajabu kuna vichaa wanatembea na kontena mbili mpaka tatu yaani ni fujo tupu............ tena ni masaa 24........ truck hazi jawahi kuisha hapo.
 

Attachments

  • ets2_20200927_034822_00.png
    1.6 MB · Views: 2
Kuna brand moja inatengeneza mod za kuongeza map kwenye ili game inaitwa wombat trucker na zinaonyesha adition road kwenye ets2 ila sasa nikijaribu kuad izo mod kwenye game langu lina corrupt ali play unaweza nisaidia kwann
MKUU HAIITWI WOMBERT TRUCK.... HIYO HUITWA GLOBAL MAP COMBO......NA MAP INAYO WAUNGANISHA WOTE HAO NI PROMODS .... UKIWA NA promods unaweza kuunga map nyingi kwa wakati mmja na zote zikapiga kazi wakati mmja ........map hizo ni kama ........ MAPA EAA,,,,,RUS MAP,,,SOUTHERN REGION,,,, North Macedonia Rework,,,, Paris Rebuild ,,,,,,, Project Turkey ,,, Swedish Islands ,,,, Promods Middle East...na nyingine nyingi..cha kuzingatia mod version lazima iendane na game version husika.
 
FROM ICELAND.....................................................#TRUCKER MP#
 

Attachments

  • ets2_20200928_065108_00.png
    974.4 KB · Views: 3
  • ets2_20200927_081542_00.png
    1.3 MB · Views: 3
  • ets2_20200927_081730_00.png
    1 MB · Views: 3
  • ets2_20200928_023600_00.png
    1.1 MB · Views: 3
🕺 🕺 🕺 🕺 🕺 🕺 WAPE SALAM ZAO
 

Attachments

  • ets2_20200930_010548_00.png
    1 MB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…