IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,362
- 6,274
Ume download version ip ya game?Wakuu nimedownload hilo ulonipa hapo juu ila sasa nikiweka mods linajistop linyew nikitoa linapga mzgo sasa cjui shida nn
iko hivi pale unapo derete hiyo steam mara ya kwanza itakubali lakini uki quit game lazima itakuomba tena u derete hiyo steam ..........................................sasa bas fanya hiv unapo futa hiyo steam hakikisha una fungua game kisha una cheza kidogo alafu quit game nenda tena ka derete steam kisha fungua tena game cheza kidogo kisha funga game derete tena steam kisha cheza tena .......................... yaani una takiwa kufanya hivyo mara 3 au 4 kwa wakati mmja issue itakuwa imekamilikaWakuu mimi ETS yangu nikitaka ku run game mpaka nifute steam folder kwenye user\public document\steam
Bila hivyo halikubali ku start shida itakua wapi
Maana nikifuta steam folder basi profile yangu inafutika inabidi ni create ne profile tena
Kumekucha[emoji3] ngoja nichekBEI IMEPUNGUA NUNUA ETS 2 KWA BEI YA DOLA NNE TU $4 KUPITIA STEAM https://www.google.com/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=&cad=rja&uact=8&ved=2ahUKEwjBqKHuz57sAhUZBGMBHTtdAWcQFjAAegQIARAD&url=https://store.steampowered.com/&usg=AOvVaw2rlhMUsH7fKQLuSJii_I9Z
nakusubili mkuu hapa mjini callais
Hahah tumekutana..mm ndo naiweka hapa [emoji1787][emoji1787]mzee baba na mimi ndo nilikuwa naiangalia saa hii umeniwaije[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
yaani NA MIMI NILIKUWA hiyo hiyo mitaa ya MODHUBHahah tumekutana..mm ndo naiweka hapa [emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Kwa sisi ambao 1.36 hatukuifuta basi tunapakua mb 60 tu hzo biashara kwisha [emoji3]NAONA HAPO AWALI KULIKUWA NA UGUMU WA KUPAKUA HII MAP ........................ [HARSH RUSSIA SIBERIA BY GOBA]................... ILA KWA SASA NAONA JAMAA WAMEAMUA KULAHISISHA KBSA YAAN USHINDWE MWENYEWE TU. HAPA KWA CHINI KUNA LINK MBILI SO LAZIMA UDOWNLOAD ZOTE ......................................................................................................................[1] Harsh Russia Siberia Map R5 1.36.x - Modhub.us .......[2] Harsh Russia Siberia Map R5 1.36.x - Modhub.us
huo ndio umuhimu wa kutunza kumbukumbuKwa sisi ambao 1.36 hatukuifuta basi tunapakua mb 60 tu hzo biashara kwisha [emoji3]
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Umefakiwa? Mi najarbu hapa game ina crash dah... sielew yanhuo ndio umuhimu wa kutunza kumbukumbu
bado sijaipakuwa ila nasubili/namsubili brother kaondoka na lain yenye bando la kutoshaUmefakiwa? Mi najarbu hapa game ina crash dah... sielew yan
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Dah poaa ngoja nikomae hapabado sijaipakuwa ila nasubili/namsubili brother kaondoka na lain yenye bando la kutosha
Asee hapa me.ndo nmeshi dwa kabisa kuweka kwenye 1.38 yangHaya sasa Harsh russian for 1.38
Fix for the map Harsh Russia Siberia R5 1.38 - Modhub.us
Maelezeo yapo hapo hapo...hyo ni fix..utatakiwa kuwa na ile ya 1.36 kisha utatia hyo fix hapo kuweza kuchez kweny 1.38
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Kipengele..1.36 si unayo LknAsee hapa me.ndo nmeshi dwa kabisa kuweka kwenye 1.38 yang
Nmeqeka 1.38 jana ile niliitoa kwan naweza install zote mbil kwenye oc moja