Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Haiwezekani.
NA mimi hapo nakazia🔧🔧🔨 kuna video baadhi ya video crip you tube zinazoonesha kuwa et unaweza kucheza ets2 kwa simu za android na ukiangalia vizuri mpaka mwisho hizo video zao wanatoa link za game husika na kwa bahati mbaya au nzuri waliyo wahi kufanya hivyo hakuna aliye fanikiwa zaidi ya kupakua tu lile file [APK file ] ..................Warning ⚠️⚠️⚠️ pale unapo install hiyo APK file uliyo download huwa ni virus👹👹 anaechukua taarifa zako zote na kumpelekea mmliki
 
Mm mwenyewe nshawahi kujaribu na ikashindikana.
 
Mkuu auwezi kutusaidia kupata ile vision mpya ya Iberian dlc ya 1.39 da ni Kali kinoma
 
Aina noma ila vp vision ya 1.39
zipo njia mbili za kupata hiyo version ..................................................[1]kama una steam nenda kwa game kisha manage,properties, BETAS KISHA CHAGUA 1.39..............[2]kama una tumia crack subili kwanza kidogo jamaa wamalize kufanya utaalam wao kisha watakuwekea kwenye site za kudownload nadhani k camp lazima ataweka link hapa
 
Yap 1.38. Inakata pale inapokuwa inaload profile uliyoitengeneza.
nimeona tatizo lako hapo hiyo lock ni 1.36 na unahitajika kuweka 1.38 lock kama hivi hapa chini
 

Attachments

  • ets2_20201113_075042_00.png
    883.3 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…