Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

ets2_20210112_232034_00.png
 
Jamani naomba msaada kila nikijaribu ku weka mod za map kwenye game langu linakata lenyewe yani halifunguki nifanyaje ili mod za map ziwe zina function maana nateseka kweli
mod yako lazima ieandane na version ya game mfano
mapa norte brasil v 1.37 hapo lazima game lako liwe ni v 1.37
 
Back
Top Bottom