Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Jamani mwenye bus simulator ya Tanzania ya simu anifabariki basi,au yeyote ile ukiacha ya indonesia anitajie jina
 
Jamani mwenye bus simulator ya Tanzania ya simu anifabariki basi,au yeyote ile ukiacha ya indonesia anitajie jina
Lipo la Bus Simulator:Ultimate 2018 ndo nachezaga mimi kwa simu. Ingia Google play store kwanza pakua na licheze, likikupendeza nistue nikupe full cracked lina balance ya $2.3B kwenye account kwa ajili ya kuendeshea kampuni, Busi unaweza customize mwenyewe tu rangi na jina ukitaka..
View attachment 1678599

View attachment 1678600

 
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 

Attachments

  • ets2_20210130_091458_00.png
    1 MB · Views: 8
Wale wa American truck tu juane apa
Your browser is not able to display this video.
 
asee hiv map gan kwa sasa ambayo ipo njema
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ kcamp nakumbuka nilkuuliza ni map gan kwa sasa iliyo njema
nikaona simbaya nipite kwenye zile site za mod aisee nilichokiona kama vile sikuamini
unaikumbuka ile ramani ya rota fg aka hondulandia? hii kitu imeludi kwenye muonekano wa kipekee kabisaπŸ™ŒπŸ™Œ
nakumbuka iliwahi kutesa madereva humu ndani @k camp unaionaje hii
link yake hii hapa https://allmods.net/download-mod/87119
 

Attachments

  • Screenshot_2021-02-13 Map LOCOS AL VOLANTE (Extreme Route) ETS2 1 40 Allmods net.png
    716.2 KB · Views: 6
@kcamp @kata shime officiar wanangu nmesha weka 1.39 now
Sasa naomben link ile ya blasili au puno inayofit kwenye version ipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…