Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Haha dah nimecheka sana...

Kwamba katashime yeye ni mzee wa matrailer tu..hataki tabu

Aisee hondulandia ile ni map ya dunia

Huyo mwinuka ndo yupi? Anatumia nani ig?

Alafu kareem kweli hatuez pata ile pack yake? Mana naona tamu sana

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
hivi wakuu! Nikinunua game Og kwenye steam kule, mod zinakua zinapiga fresh? maan nataka nijilipue na mimi.
 
hivi wakuu! Nikinunua game Og kwenye steam kule, mod zinakua zinapiga fresh? maan nataka nijilipue na mimi.
mzee kuna mzalendo yuko huku ananunulia watu game fanya chap ikiwa unahitaji game nikuunganishe nae chap
ila vile ulivyozoea crack ikiwa na dlc zote huku. steam hizo dlc unanunua kuanzia

scandnavia
going east
black sea
baltic sea
france
itary
might griffin
fh tunning pack
actor tunning pack
cabin accesorise
tyre & rim
goood year tyre
michelin
krone trailer
swarzmurel trailer
heavy cargo [3]
na nyingine nyingi so ni wewe tu
 
ina maan nikinunua hii latest kuna dlc zingne sizipati?.
kama ni hivo nasubiri crack tu
 
kama sikosei aliwahi kukatiza hii mitaa kipindi cha nyuma akiwa na cd ya bus
kareem ni mfabiashala muda wote yuko active whatssap
but nashindwa kuelewa why asitoe angalau demo
 
Mimi hili gemu nikilicheza nikifika level ya tatu huwa naambiwa niactivate game why??? naomba mnisaidie katika hili wapenzi wa gemu jili
baadhi ya version ya game huwa kuna Key ndani ya folder la setup ya game. Kwahy cha kufanya kabla ya ku-play game unatakiw ufungue setup folder kuna file la Key linafunguka kwa Notepad then unaz copy. Baad ya hapo ukija ku-play Game sehem ya ku activate unakuta tayat zle key zimej paste kwahy una activate mchezo umeisha

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…