Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

wakuu naomba kueleweshwa kama inawezekana kufanya backup ya ETS 2 kwenye local Disc D kabla sijaformat local disc C
 
Wengine mnatuacha mbali kweli wadau.....naombeni kuuliza kwa ushamba wang....je hana eurotrack game la smartphone? Lakin pia draft game lile la online la kumvua nguo sjui linaitwaje halipo la smartphone? Maana ndo game ambazo nazikubali lakin pc yang imekufa. Au game mbadala a
Ambazo zinafanana na izo wadau......samahanini kwa usumbufu.
 
Euro Truck la android halipo, yapo yanayofanan na euro truck
ilo la draft sifahamu...

Nla
 
Hili hapa
images%20(3).jpg
 
Wengine mnatuacha mbali kweli wadau.....naombeni kuuliza kwa ushamba wang....je hana eurotrack game la smartphone? Lakin pia draft game lile la online la kumvua nguo sjui linaitwaje halipo la smartphone? Maana ndo game ambazo nazikubali lakin pc yang imekufa. Au game mbadala a
Ambazo zinafanana na izo wadau......samahanini kwa usumbufu.
mkuu mimi ni mweupe sana kwenye haya mambo ngoja wadau watajibu
 
Wengine mnatuacha mbali kweli wadau.....naombeni kuuliza kwa ushamba wang....je hana eurotrack game la smartphone? Lakin pia draft game lile la online la kumvua nguo sjui linaitwaje halipo la smartphone? Maana ndo game ambazo nazikubali lakin pc yang imekufa. Au game mbadala a
Ambazo zinafanana na izo wadau......samahanini kwa usumbufu.
Game la ets2 la kwenye simu hakuna ila ukitaka game bora la trucks la kwenye smartphone pakua gts2 lina ufanano kiasi na ets2.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom