Babu hulembi...dah umepakua single file ile ya pro mods ya kulipia au umepakua zile vipandeChuma ina loardView attachment 1754710
Ooh nakumbuka niliwahi kufika iraqVip kuhusu middle East
Vp Taliban hukukutana nao huko ?Ooh nakumbuka niliwahi kufika iraq
Promods middle east
Embu niambieni nikitaka rose extende na project Turkey natakiwa niwe na road connection ipi iyo ili zifanye kazi kwa pamoja na promods
We nilikuwa makini
Hapana jana nilijitahidi nikaweza kunatofauti ya def fail na road connection ndo zifanye kazi kwa pamojaDef
File
BaasHapana jana nilijitahidi nikaweza kunatofauti ya def fail na road connection ndo zifanye kazi kwa pamoja
Mm nisha weka tayari promod project Turkey rus map na roex extende sehemu moja na zika piga kaziBaas
Jalibu kipitia thread mbalimbali hapo promods naimani utaelewa namna ya kuipata def file
Wengine mnatuacha mbali kweli wadau.....naombeni kuuliza kwa ushamba wang....je hana eurotrack game la smartphone? Lakin pia draft game lile la online la kumvua nguo sjui linaitwaje halipo la smartphone? Maana ndo game ambazo nazikubali lakin pc yang imekufa. Au game mbadala awakuu naomba kueleweshwa kama inawezekana kufanya backup ya ETS 2 kwenye local Disc D kabla sijaformat local disc C
Euro Truck la android halipo, yapo yanayofanan na euro truckWengine mnatuacha mbali kweli wadau.....naombeni kuuliza kwa ushamba wang....je hana eurotrack game la smartphone? Lakin pia draft game lile la online la kumvua nguo sjui linaitwaje halipo la smartphone? Maana ndo game ambazo nazikubali lakin pc yang imekufa. Au game mbadala a
Ambazo zinafanana na izo wadau......samahanini kwa usumbufu.
mkuu mimi ni mweupe sana kwenye haya mambo ngoja wadau watajibuWengine mnatuacha mbali kweli wadau.....naombeni kuuliza kwa ushamba wang....je hana eurotrack game la smartphone? Lakin pia draft game lile la online la kumvua nguo sjui linaitwaje halipo la smartphone? Maana ndo game ambazo nazikubali lakin pc yang imekufa. Au game mbadala a
Ambazo zinafanana na izo wadau......samahanini kwa usumbufu.
Aisee hii ni kaliJaman mnipe hongera hatimae nimeweza ku kamilisha map combo zote soon nitatuna video na secreen shoot zangu za map zote kwa wakati mmoja
We kibokoJaman mnipe hongera hatimae nimeweza ku kamilisha map combo zote soon nitatuna video na secreen shoot zangu za map zote kwa wakati mmoja
Game la ets2 la kwenye simu hakuna ila ukitaka game bora la trucks la kwenye smartphone pakua gts2 lina ufanano kiasi na ets2.Wengine mnatuacha mbali kweli wadau.....naombeni kuuliza kwa ushamba wang....je hana eurotrack game la smartphone? Lakin pia draft game lile la online la kumvua nguo sjui linaitwaje halipo la smartphone? Maana ndo game ambazo nazikubali lakin pc yang imekufa. Au game mbadala a
Ambazo zinafanana na izo wadau......samahanini kwa usumbufu.